Swali kwa wote

.........Kunyimana unyumba wala sio solution ya tatizo, na inakuwaje unalala na mume/mke wako chumba kimoja, kitanda kimoja kipindi cha miezi 7 au mwezi tu halafu usiwe na hamu na mwenzako kweli. Aisee mimi siwezi kabisa hii kitu.
may be he should be sleeping on the coach.... much better... I donno how did they share the room...
 
mie nambaniaga japo wiki, kuna vijimambo akinifanyia hapo lazima nimbanie, akija late kanikuta nimeshalala hapo hakifanyiki kitu, na kesho yake maelezo yake yakipinda ya huko alikokuwa mbano unaendelea, kuna vijimambo mambo akivifanya anajua kabisa hapa hakuliki...hiyo miezi 7 kwa kweli ni mingi ila inategemeana na ishu yenyewe ilivyo.

Biblia inasema "msinyimane.. tena mrudiane mara kwa mara ili ibilisi asije kupata nafasi" Nyamayao sikutabirii mabaya, ila angalia hilo ni dirisha la kumpitisha ibilisi atakayekuaj kuvunja ndoa yenu. Mbona zipo adhabu nyingi nyingine ambazo wake zetu wakitupa tunajuuuuta kuwakosea...
 
Biblia inasema "msinyimane.. tena mrudiane mara kwa mara ili ibilisi asije kupata nafasi" Nyamayao sikutabirii mabaya, ila angalia hilo ni dirisha la kumpitisha ibilisi atakayekuaj kuvunja ndoa yenu. Mbona zipo adhabu nyingi nyingine ambazo wake zetu wakitupa tunajuuuuta kuwakosea...
kama adhabu gani ramos...?
 
kaka DC kama ni suala la kukatika kwa network, sawa ila hata hapo lazima nimwambie mwenzangu nini kimekata network, ndo maana nasema tuyazungumze kama yanazungumzika then we make up na tuendelee na maisha yetu kama si vinginevyo


B, ingekuwa heri sana kama tungeweza kuzungumza. Katika issue kama hii wengi wetu tunajawa na viburi, jazba na mengine mengi ambayo yanakata kabisa mawasiliano. Binafsi huchukulia mazungumzo kama dawa ya kila kitu katika mahusiano. Pia yanasaidia kupunguza msongo wa mawazo ambacho ndio chanzo kikubwa cha vifo vinavyotokana na stroke au BP. Ila wanawake wengi wanakuwa wagumu kuanzisha mazungumzo. Hata sijui kwa nini inakuwa hivyo. Kwangu lazima nianze mimi hata kama nimekosewa vinginevyo hakuna story na kwa hiyo chakula cha usiku hakuna kabisa. Ila siwalaumu wanawake kwani biology yao ni complex sana!
 
aafu we dark city INAKUWAJE?

Nitakusimulia siku moja tukipata nafasi. Hawa viumbe hatunawapenda na kuishi nao ila hatuwajui hata kwa 10%. Wao wanatufahamu kwa walau 70% kwani wanajua ulevi wetu kwao! Sisi wala hatujui kwa nini tuko nao katika dunia hii. Laiti tungewajua dunia ingekuwa tambarare kinoma!
 
katika issue kama hii wanaume walio wengi wanatumia ubabe badala ya kujishusha
............Na kujishusha ndio ngao kubwa inayoweza kuimarisha mahusiano/ndoa yenu, hasa mwanaume ukijua kujishusha hiyo ndoa yenu lazima itakuwa paradiso ndogo hapa duniani.

.........Baadhi ya wanaume hapa naona hawajui kubembeleza, naona tu wanavyosema mwanamke akigoma basi na yeye atagoma na hawafahamu kwamba sisi wanawake tunapenda kubembelezwa, sasa sijui kama ni wanawake wote au ni mimi tu.Hivyo wanaume mjue kubembeleza wake zenu, msijifanye wababe wala haisaidii ndio kwanza ubabe unabomoa.
 
Sasa najua kwanini Waafrika tunakufa sana kwa Ukimwi, magonjwa ya Standard Seven, na kwanini mimba nyingine zinakuwa ni unintended. Think about it..
 
Siiti kunyimana, the thing is, if your spouse did to u things that hurts you, u will not feel like sharing ur body with him.... :frown:. its not about pleasing him only...its about pleasing myself too.... and if I am mad at him how would I enjoy him? ah ah doesnt work that way...may be not with me...

as for the case of C'tina I think she had ever y right in the world to deny her husband's right.... If i'm in that situation I would have called that marriage off.... but I guess the Writer (MMK) is very clever... It takes a revenge for C'Tina to totally forgive her husband....
 
Nakunyima Amina unahamia kwa Mwanahawa gemu linaendelea kama kawa.
Amina atabaki kuhuzunika na mwili utaendelea kuchoka huku Mwanahawa akinenepa na zege.
 
Sasa najua kwanini Waafrika tunakufa sana kwa Ukimwi, magonjwa ya Standard Seven, na kwanini mimba nyingine zinakuwa ni unintended. Think about it..

Kaka MMKJ magonjwa ya standard seven ndo kama yepi hayo unijuze mwana wa mwenzio??
 
mmh makubwa aya!!!!!!!!! ukipiga kaz zas nje ye ndo anaongeza manjonjo??????
she z real a gud wife!!!!!!!!
congrats
 
Funzadume unafanyaga hayo nini kaka yangu (kama wewe ni mwananume lakini)
funzadume ni dume na nikibaniwa naenda kupiga nje live bila chenga ila kwa siku hizi similiki nyumba ndogo napiga ile ya EAT n' RUN siwekezi sehemu kama nikinogewa nitapiga mara 2 tu then nasepa (thats my principle ha)
 
............Na kujishusha ndio ngao kubwa inayoweza kuimarisha mahusiano/ndoa yenu, hasa mwanaume ukijua kujishusha hiyo ndoa yenu lazima itakuwa paradiso ndogo hapa duniani.

.........Baadhi ya wanaume hapa naona hawajui kubembeleza, naona tu wanavyosema mwanamke akigoma basi na yeye atagoma na hawafahamu kwamba sisi wanawake tunapenda kubembelezwa, sasa sijui kama ni wanawake wote au ni mimi tu.Hivyo wanaume mjue kubembeleza wake zenu, msijifanye wababe wala haisaidii ndio kwanza ubabe unabomoa.
dini zote zinasema m/ume ni kichwa cha familia sasa unataka tujishushe si ndio nyumba itatawaliwa na mfumo jike lol mambo ya MUME *****
 
Swali lako zuri JS.

hapo kwenye nyekundu hapo mh..... kuna wengine analala na jeans, na akiamka anaingia bafuni kuoga akitoka keshavaa kila kitu anarudi chumbani kupaka tu mafuta na kuchana nywele ..unawezakta wiki hujaona hata rangi ya mgongo wake. Chezea yeye wewe.

Unajua sometimes huwa inakera mdogo wangu unadhani ni mara zote watu wanabania? sometimes inabidi maana unakuta mtu kakukosea umemwambia au kumlalamikia but bado hajirekebishi wala kuomba msamaha ukiamua kukasirika habembelezi. so unajenga kigruti ndani ya moyo.................sasa usiku anakuja kweli utakuwa na moyo wa kutoa?? ndio hapo waambiwa umemnyima.

Ila kwa kesi ya Mke wa Waziri mimi nafikiri ni tofauti- maana waziri ameonyesha kuwa mkewe hamfai- yaani hakitaki tena kitumbua chake ndo mana akaenda kwa binti Rehema------ hata ingekuwa mie nadhani ningebana bwana ah.

MJ1

Mara nyingi sana mwanaume akikunyima "ii-kitu" ujue kuna mambo matatu;
afya yake si nzuri, na mara nyingi anakua worn out na kazi au pombe au hata magonjwa [but this wont last seven months]
Pili ni kama ana hisia kwamba wewe si muaminifu, wanaume ni wa ajabu.... tuna kinyaa tukijua wametuibia, lakini vya kuiba huwa tunafanya hata yasiyoelezeka!!!
Tatu ni kama ameshapata ndito huko nje na bado hajaizoea...

ALL IN ALL, LIFE BILA SEX NI KAMA KUANGALI TV IKIWA MUTE, AU KUPULIZA SAXAPHONE WAKATI MTU ANAPITA MBELE YAKO ANAKULA LIMAO
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom