Swali kwa wote

Mimi ningependa tu kuwauliza kina kaka mloisoma hadithi ya Mwanajamii opssssssssss Mwanakijiji. Je kama wewe ndie ungemfuma mkeo alilimwa na shamba boy kama Waziri alivyokuwa anafanya kwa housegirl. Na kama ungekuwa huna option ya kumwacha, kumpiga ungechukua uamuzi gani na hasira yako??
hapo inategemea na nilivyoamka siku hiyo kama nikiwa na hasira na bunduki karibu ningeua, na kama nimeamka vizuri ningemrudisha kwao kwa amani mpaka hapo atakapokuja kuomba msamaha ila inategemea na situation niliyoamka nayo siku hiyo maana inategemea sana na situation siwezi kusemea kabla hayajatokea
 
ai wishi mke wangu angekuwa na akili kama zako......NINGEHAMIA TABATA-MAWENZI kwa nyumba ndogo yangu mtoto SALIMA....DAH!

mke wangu nikipiga infidelity ye ndo anaongeza manjonjo kwenye chakula cha usiku!
halafu nyumba ndogo ukiiambia unegombana na mkeo ndio inazidisha manjonjo ili kukupunguzia machungu. Hivi hizi nyumba ndogo sijui zinapitiaga kozi maana wana utaalamu mkubwa sana unaweza ukakuta majogoo yanawika hujarudi home. Ndio maana me nikiona nyumba ndogo inataka kuniteka akili naimwaga natafuta nyingine
 
Ah! poor Mrs Teamo! kwa hiyo ww hua unaenda huko ili aongeze manjonjo? kwangu kama unaona nyumba ndogo bora, its ok hamia, muhimu usisahau wanao, maana mtu wa design yako nikuwaza nitazeeka siku si zangu napressure sukari najifia we ukiwa kwa Salma yani yote haya!
 
halafu nyumba ndogo ukiiambia unegombana na mkeo ndio inazidisha manjonjo ili kukupunguzia machungu. Hivi hizi nyumba ndogo sijui zinapitiaga kozi maana wana utaalamu mkubwa sana unaweza ukakuta majogoo yanawika hujarudi home. Ndio maana me nikiona nyumba ndogo inataka kuniteka akili naimwaga natafuta nyingine
hehehehe!principle yako nimeipenda sana!mi ninayo mojoa ipo hapa maeneo ya mabibo,dah!inasumbuaga sana akili angu.....
hivi imeshanitext kuwa lanchi tayari...
ngoja niwashe tukutuku nipite famasi kabisa nikabebe zana nijipindue uswazi maanake dah

LONG LIVE INFIDELITY!
 
Atleast we unakujua kutekwa na kukumbuka kuimwaga! kwani ni lazima uwe nayo?
 
sasa hapa si ndo ume-endorse infidelity moja kwa moja??

ingekua ww ungefanyaje pale infidelity inapozidi? na kwanza hiyo feelings itatoka wapi? mi kwa mambo haya ya nyumba ndogo nakufa ganzi kiaina it take time for to heal my feelings!
 
hehehehe!principle yako nimeipenda sana!mi ninayo mojoa ipo hapa maeneo ya mabibo,dah!inasumbuaga sana akili angu.....
hivi imeshanitext kuwa lanchi tayari...
ngoja niwashe tukutuku nipite famasi kabisa nikabebe zana nijipindue uswazi maanake dah

LONG LIVE INFIDELITY!

sijui nikuzabe kibao?!?!???!!:glasses-nerdy:
 
Hivi inakuwaje unyumba utumike kama 'silaha'? Mimi nilidhani katika tendo wote mnaenjoy na si mwanaume pekee! Na kama wote mnaenjoy ukimnyima mwenzio kwa siku kumi na wewe si unakuwa umekosa kwa siku kumi? Au unyumba ni muhimu kwa wanaume peke yao?

Kwa maoni yangu, kutumia unyumba kama silaha ni kujishusha hadhi kama mwenza katika ndoa na kujiweka kama mtumwa/msaidizi (ni kama vile mfanyakazi anapogoma kufanya kazi ambayo kwayo aliajiriwa kuifanya!).
 
@Mom kumnyima unyumba ni suluhisho?? M ie bora tuyazungumze tu kama yanazungumzika ikishindikana na-seal moja kwa moja biashara inaisha.

uzuri ni kwamba hawa jamaa uwanyime usiwanyime, wakitaka kufanya nje wanafanya tu!!!
 
wengine hawako tayari kwa suluhisho mpaka maji yakimfika shingoni! hapo kwenye red inataka moyo especial kwa wenye family kubwa kama mm
 
Hivi inakuwaje unyumba utumike kama 'silaha'? Mimi nilidhani katika tendo wote mnaenjoy na si mwanaume pekee! Na kama wote mnaenjoy ukimnyima mwenzio kwa siku kumi na wewe si unakuwa umekosa kwa siku kumi? Au unyumba ni muhimu kwa wanaume peke yao?

Kwa maoni yangu, kutumia unyumba kama silaha ni kujishusha hadhi kama mwenza katika ndoa na kujiweka kama mtumwa/msaidizi (ni kama vile mfanyakazi anapogoma kufanya kazi ambayo kwayo aliajiriwa kuifanya!).

Ni kweli kabisa SMU haileti maana ila ninavyojua mie ni kuwa huwa hatuwanyimi kama silaha bali ile hali yetu ya kutojisikia kukupa kwa kuwa feelings zangu hazipo huwa mnaichukulia kama tunawanyima kusudi.

Mie ninakumbuka there was this time mwenzangu alikuwa anatabia ya kunikorofisha kila mara na ikafika pahala nikahisi anafanya kusudi kwani haiwezikani mtu ufanye kile ambacho unajua kinamuumiza mpenzi wako na kumkosesha raha kila siku. Ikatokea siku moja bila sababu ya maana (nilikujagundua kuwa alimfumania nyumba ndogo yake siku hiyo) akanyanyua mkono wake na kunidunda --- ilikuwa kipigo kitakatifu kilichoniacha hoi nikiwa hoi sakafuni) ----- Halafu kwa siku mbili nzima hakusema kitu wala kuuliza uhali gani wala cha samahani. Ikawa akiamka asubuhi anaoga na kutimka humwoni hadi saa tisa nane usiku. Siku ya tatu usiku huo wa manane anakugeuza na kutaka kuchomeka. Mbona niligeuka Jack Chan sijui- Nikawa nimenunua kesi eti nimemnyima oh natumia hiyo kama silaha ya kumwadhibu!!

Nilichotaka kusema ni kuwa kabla hamjalalamika kuwa mnanyimwa chunguzeni mwenzio anakataa kwa sababu gani? wengine si kwa kutaka kukukomoa ni kuwa tu feelings hazipo...... na kujilazimisha haiwezekani jamani sie wanawake milango yetu kufunguka inashirikisha vitu vingi, utayari, feelings na mapenzi si kama ninyi ambao hata ukisikia harufu ya manukato mazuri basi mfalme anaitika....... mnatubaka saa nyingine.
 
hehehehe!principle yako nimeipenda sana!mi ninayo mojoa ipo hapa maeneo ya mabibo,dah!inasumbuaga sana akili angu.....
hivi imeshanitext kuwa lanchi tayari...
ngoja niwashe tukutuku nipite famasi kabisa nikabebe zana nijipindue uswazi maanake dah

LONG LIVE INFIDELITY!
kaka ukiona inakuganda sana imwage tafuta nyingine, siku hizi ziko nyingi sana mpk zimeanza kujitongozesha kwa mfano mm hapa nina mademu kama watatu hivi wako pending nasubiri nianze kunyimwa unyumba nikaanze kuwashughulikia. Na uwa nawaambia kabisa hawa small house kuwa nina mke na kuwawekea ratiba ya kupiga simu na sms ni mwiko nikiona anakiuka masharti napiga chini jumla natafuta mwenye discipline
 
Atleast we unakujua kutekwa na kukumbuka kuimwaga! kwani ni lazima uwe nayo?
sasa unategemea nikimbilie wapi nitakaponyimwa unyumba mwezi mzima? na kwa taarifa yako hakuna m/ume asiyekuwa na small house hata kama vp ujue kuna demu yuko pending anasubiri kukiwaka moto kwake anakuwa na kimbilio hakuna mwanaume anayekaa wiki 2 amenyimwa unyumba bila kutafuta alternative labda iwe kesi si ya ugomvi kama kujifungua n.k ila kama mmegombana halafu unambania 100% atapiga nje
 
@Mom kumnyima unyumba ni suluhisho?? M ie bora tuyazungumze tu kama yanazungumzika ikishindikana na-seal moja kwa moja biashara inaisha.

uzuri ni kwamba hawa jamaa uwanyime usiwanyime, wakitaka kufanya nje wanafanya tu!!!

hoja nzito sana.

kumnyima unyumba siyo adhabu wala suluhisho la matatizo. sasa angalia Clementina ameenda kutembea na mwanaume ambaye wala hamfahamu, kisa ni kwamba kajinyima unyumba yeye mwenyewe mpaka inafika mahali inakuwa kama anajiadhibu mwenyewe.

kama wangeongea na kuyamaliza, wala yasingefika huko. na kama Clementina angeamua kuachana na Jonathan a.k.a Boss, wala huyo dada asingeliwa na mjamaika ambaye hamfahamu kabisa.
 
ai wishi mke wangu angekuwa na akili kama zako......NINGEHAMIA TABATA-MAWENZI kwa nyumba ndogo yangu mtoto SALIMA....DAH!

mke wangu nikipiga infidelity ye ndo anaongeza manjonjo kwenye chakula cha usiku!

hahahahah nicheke mie mtoto wa kimakonde hizi mambo za kparty
 
Sredi hii ni nzuri kwelikweli, michango mikubwa yapasa kutoka kwa nyie mlooa au kuolewa kwetu sisi waseja, should'nt comment anything!
 
Ni kweli kabisa SMU haileti maana ila ninavyojua mie ni kuwa huwa hatuwanyimi kama silaha bali ile hali yetu ya kutojisikia kukupa kwa kuwa feelings zangu hazipo huwa mnaichukulia kama tunawanyima kusudi.

Ninakubaliana na hoja na maelezo yako. Nina swali dogo tu: Je, unadhani unaweza "kumnyima" kwa muda gani? Maana umesema kwamba hujisikii, je unaweza usijisikie kwa miezi 6 au 7 au hata mwaka mzima? Ikifikia hapo kwamba hujisikii kwa miezi zaidi ya 6, kwanini usiombe talaka ili kila mmoja aendelee na maisha yake? Ili uwe huru kupata mtu mpya ambae utakuwa unajisikia kumpa.

Hilo linapunguza uwezekano wa yale yaliyompata Clementina. Clementina alikuwa kwenye hali mbaya sana, that day kama mjamaica asingekumbuka kuvaa zana, Clementina wala asingekumbuka kumwambia vaa condom. Kuna maamuzi mengine ambayo yana risk kubwa sana, unajua uhanga ukizidi sana, mtu anaweza kufanya unthinkable. Baada ya kumaliza kufanya ndio anakuja kugutuka na kujiuliza, hivi nimefanya nini? Majuto ni mjukuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom