Nitaanza kwa utani tu. Katika nchi mmoja ya Ulaya watu wameruhusiwa kutembea na bangi lakini kwa matumizi ya binafsi (personal use). Hivyo kuna jamaa akahamua ku-import container nzima la bangi. Alipokamatwa na polisi, jamaa akajitetea kuwa ni kwa personal use, ingawaje ilikuwa ni ya biashara. Akaachiwa huru na sheria ikabidi ibadilishe hili kuonyesha kiwango gani mtu anaruhusiwa kubeba kwa personal use. Kwa mtaji huu kitu kisichoandikwa kisheria sio kosa.
Nikirudi kwenye mada: Najaribu kuisoma katiba ya serikali ya Tanzania na sioni sehemu inayosema kuwa ni lazima mgombeaji wa cheo cha kisiasa awe mwanachama wa chama kimoja tu cha siasa. Hivyo basi kwa mtaji huu, mtanzania anaweza kuwa mwanachama wa vyama vingi vya kisiasa na kugombea nafasi moja au nyingi kwa kutumia tiketi ya vyama vingi.
Kwa maoni yangu uanachama wa chama cha siasa is not mutually exclusive. 2015 ninaweza kugombea udiwani kwa kutumia uachama wa CUF na wakati huo huo kugombea ubunge kwa kupitia TLP na CHADEMA au CCM. Sheria ya nchi haikatazi mtu kushikilia udiwani na ubunge kwa wakati mmoja.
Naomba ufafanuzi wenu

This is where I tend to say no. Naomba ukarudie kusoma upya katiba ya jamhuri ya muungano wa kinafiki wa Tanzania.

dah, am not gud in LAW bt kwa mtazamo uliopo na sheria za UCHAGUZI, Mgombea yoyote anae taka kugombea nafasi iwe ya Ubunge, ama udiwani or katika serikari za mitaa (mwenyekiti wa mtaa). Sharti la kwanza ni lazima uwe mwana chama wa chama kinacho tambulika.
Na kwa mtazamo wako Tanzania hairuhusu mgombea au mwana chama wa chama chochote kuwa na udhamini/kadi ya chama zaidi ya kimoja. So bwana mkubwa hyo haipo, ningepata sheria ya vyama vya siasa toka kwa msajili wa vyama ningekusomea vifungu zaidi.
This is where I tend to say no. Naomba ukarudie kusoma upya katiba ya jamhuri ya muungano wa kinafiki wa Tanzania.
Utata huu umeshajadiliwa katika kesi ya mgombea binafsi iliyofunguliwa na mtikila,hakuna chama ambacho kitaruhusu mwanachama wake awe na uanachama na chama kingine,huwezi kuwa mwanachama cuf ukiifuata katiba na itikadi ya cuf wakati huohuo uko chadema.Use common sense
Kuna Sheria ya vyama vyenyewe vya siasa nchini. Kwa mfano, ukiwa mwanachama wa CCM huwezi kuwa na uanachama wa chama chingine. Kwa hiyo, hata kama Katiba ya nchi inakuruhusu bado umevunja ktk ya CCM. Inabidi ujitoe kwenye CCM kwanza kabla ujaamua kugombea ktk chama chingine. Ninaamini vyama vingine vya upinzani vina sheria kama hiyo.
Unayo practical concern hata kama watu hawataki kuona. Kama kweli sheria inaishia kusema uwe mwanachama wa chama fulani basi kitu pekee cha kuzuia kugombea kwa tiketi mbili ni kama chama kingine kitakataa kukuidhinisha au chama chako kitafuta uanachama. Kama hili halijatokea basi nafikiri unaweza kugombea udiwani kwa tiketi ya CCM na ubunge kwa tiketi ya CUF!
Zakumi,Mwaipaja:
As a matter of fact I use common sense. Kama mimi ni mwanachama wa kijani na mazingira naweza kuwa mwanachama wa chama cha maendeleo ya jamii. Political pluralism haikatazi mtu kuwa na itkadi zaidi ya moja.
kukubali yale yaliotolewa katika kesi ya Mtikila, ni kuwa receptive wakati political semantic indicates the opposite. Kuwa mwanachama wa vyama vingi sio kitu kigeni dunia. Chukua mfano wa South Africa. Joe Slovo, Chris Hani walikuwa ni wanachama wa South African communist Party na wakati huo huo ni wanachama wa ANC.
Zakumi,
Tunazungumzia siasa ya tanzania na mfumo wake,ni vizuri ukafuatilia mambo ili kubaini ukweli.Katika kesi ya mtikila hakuna mahali popote ulipoondolewa utata wa suala unaloliuza.Katika kujivua na lawama mahakama ya rufaa iliisukumia hoja ya mgombea binafsi bungeni ambalo bado halijakaa kuijadili hoja hiyo.
Ni vema ikaeleweka kuwa katiba ya Tanzania ina viraka na utapiamlo wa kutisha,ilitungwa wakati wa mfumo wa chama kimoja na hii ndio sababu tunadai katiba mpya.
Kuhusu suala la mgombea kupitia vyama vingi ni vizuri ukaelewa kwamba vyama vinaweza kuungana na kusimamisha mgombea mmoja,hii inategemeana na makubaliano ya vyama.
Kuchanganya itikadi,falsafa na malengo ya vyama kwa hoja kuhitaji uwe mfuasi wa vyama vingi ni dalili nzuri ya kutokujua maana ya ufuasi na kukosa msimamo.Vyama au mtu anaweza kuwa rafiki wa chama hata kama kina itikadi na malengo tofauti lakini cha msingi lazima ujulikane upo upande gani.
Kukubali mtu mmoja kuwa mfuasi wa chama zaidi ya kimoja ni kukaribisha wanafiki na mamluki ndani ya vyama.Asante ndugu yangu
Kabla ya kutoa ufafanuzi, hivyo vyama vyenyewe vitakuelewa kwamba uvae shati yenye rangi nyekundu, kijani, bluu, njano, nyeupe, nk?