Swali kwa wanawake

Squidward

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,925
7,937
Mwanamke unaweza kupika chakula gani cha Tsh 1000 mkashiba wewe na mumeo?

Wanaume tuangalieni majibu hapa ndo pa kupata wa kuoa.
 
Dagaa fungu1, 300 na kitunguu cha mia nanunua dona nusu 300 naenda kununua kuni za mafungu za 300 na maji ya kandolo ya mia, ya kushushia msosi wetu.

Natandika jamvi namsubiri baba watoto aje tukamue nguna.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaishi mkoa gani? usifuraishe jamvi:D:D
Dona kilo ni buku,nusu jero
Dagaa fungu ni jero, zle za pakti ni buku
Hakuna kuni za bei iyo kwa jiji lolote apa tz, hata uko mikoani sdhani
 
Back
Top Bottom