Una uhakika kama ataugua?Ningemuomba aniruhusu nitafte kazi kwa sababu nimepona na uwezo Wa Ku work ninao. Sababu kubwa ni kwamba wakati ninaumwa yeye aliweza kunipa support kwa vile alikuwa ana kazi au biashara au chochote cha kumuingizia kipato. What if someday yeye augue for a year kama Mimi? How will I support him wakati sina kazi wala any source of income?
Si huyo mwenzetu majibu aliyotoa yamenistua kidogo
mmh si kweli mbali na kila kitu anachonifanyia lazma niwe na pexa yangu hzi pesa za kutoka mifukon mwa watu mmh hatari tupu
unatufanya wadoli wako eh?kutuonesha kama hawa watu wanajua wanachokifanya ama wanafanya ki mkumbo tu
Majubu yanaendelea kumiminika sana!
Hata wa kwako ni mfano pia na hakuna ushahidi kuwa kwasababu wewe uliugua na mimi nitaugua!
Hata kama haihitajiki??
Kivipi??????
Ndo binadamu tulivyo na kama namuona anavyomshushia mistari mume wake
Na kama haujanielewa niambie ni wapi?[/QUOTE]Haya twende kazi
Unafanya hizi
Kila sentensi unayotaka kuquote mwanzo unaweka hiviHiyo ya mbele baada ya quote ndo jibu langu.hapa katika inakuwepo hiyo sentensi (Mwisho wa sentensi unaweka hivi)[/QUOTE.] hapa...... ndo unaandika unachotaka kukijibu baadaya kuweka hizo alama kwenye sentesi ya muhusika.
Mfano
(Hiyo ya katika ni sentensi yako.Hapa hapa hadharani mkuu[/QUOTE.] hadharani maana yake nini )
NB
Hakikisha neno QUOTE linakuwa kwa herufi kubwa
Huo mfano wa mwisho nimeweka ( hiyo alama ili isije ikajikoti ukashindwa kunielewa ila haihusiki
Kinacho husika ni hizi[ ] tu
Kama utakuwa umelielewa jaribu kwa kuniquote
umeeleweka mkuu..Koute ya kwanza lazima iwe na alama ya =
Na kama haujanielewa niambie ni wapi?
I didn't say that either
I know
Huyo mke wa Bill Gates akijinyea je?
Nawe utajinyea?
Unajua kitu kinachoitwa hitaji?
Kauli hizi nikizisikia kwa mwanamke hata kama kesho nilikua namuoa naacha
Siachi kumuoa kwa sababu anataka kufanya kazi
Naacha kwasababu hii aina ya kufikiri ni ya ajabu sana
Haifai kabisa!!
:shock::shock::shock::juggle::A S-coffee:
Naelewa hata nikiwa na kazi huenda kesho ikanisumbua au ikatusumbua. Lakini hiyo haimaanishi kwamba tukae tu tuingoje kesho, tunajaribu kufanya kila lililo ndani ya uwezo wetu kujiandaa ili kesho ikija kivingine ni/tuweze kuikabili. Yapo mambo mengi sana hatuyajui kuhusu kesho. Ni vema kujiandaa.Umejibu vyema sana
Lakini hapo kwenye hofu ya kesho ndipo penye tatizo
Ukiwa na kazi kesho haikusumbui??
Unayajua ya baadae?