Swali kwa wanawake: Kwanini mwanaume alipe Mahari?

Kuhusu sheria za kizamani kuandikwa na "wanaume" tu sina uhakika nalo.

Kuhusu vitabu vya "DINI".
Je wanaume hao waliandika hivyo vitabu kulingana na matakwa yao au kulingana na matakwa ya "MUNGU"?

.......Je unamaanisha majibu wanayo wanaume walio andika vitabu vya Dini (je waliandika kulingana na mayakwa yao?).

.......au itatupasa kumuuliza MUNGU aliye watuma hao wanaume waandike hivyo vitabu kwa niaba yao?

Tusaidie msimamo wako juu ya hizi pande kinzana.
Huyo mungu ni DHAHANIA ....

Ndiyo mwanadamu/mwanaume aliandika KWA matakwa yake ( Those in power... To those who wish to be In power.. and who will be in power.

God doesn't exist dog does...

Kuhusu swala la mahari ni mila tuu na desturi ...same applied to religion.. Lugha ..... Nk...
 
Mtoto wa kiume hazaliwi ni kulelewa?
Anazaliwa na kulelewa pia lkn kwa sababu yeye ndio anarequest ndoa na sio mwanamke. Ndivyo ninavyoelewa, sina uelewa mpana na haya mambo lkn.
 
1. Yeye ndio unamla
2.Unamzalisha
3.yeye ndio anatunza familia mlioanzisha ikiwemo wewe watoto na ndugu zako so wewe ndio unaenda kwenye boma la watu na unachukua kijakazi
1663920314851.png
 
Anazaliwa na kulelewa pia lkn kwa sababu yeye ndio anarequest ndoa na sio mwanamke. Ndivyo ninavyoelewa, sina uelewa mpana na haya mambo lkn.
Unawazungumziaje wahindi ambao mwanaume ndo anatolewa mahari?

Nadhani suala la mahari sio baya kwa mtu anayerequest ndoa. Tatizo ni jinsi ilivyowekwa na mila zetu...imekaa kikandamizi zaidi.

Kwanini wakupangie kiasi cha kutoa na mavitu mengine? Ingekua ni kama zawadi mtu anapeleka chochote anachoweza ingekuwa sawa.
 
Mtoa mada sote tunajua kwamba afrika mwanamke akiolewa inahesabika familia yake imepoteza mtoto wakati familia ya mwanaume imeongeza mtoto

Yani ukiachana na shukurani kwa wazazi wa mke kwa kumlea mtoto wao hadi wewe ukamuoa

Lengo lingine ambalo hilo ndiyo kubwa zaidi la familia ya mwanaume kutoa mahari kwa familia ya mwanamke ni sababu mwanamke anaondoka kwenye ukoo wao anaenda kwenye ukoo wa mwanaume

Ina maana ataacha kutumia jina la ukoo wake na kuanza kutumia jina la ukoo wa mwanaume na watoto watakaozaa pia ni hivyo hivyo

Anaacha kujenga ukoo wao anaenda kujenga ukoo wa mwanaume pia bila kusahau ataachana na ndoto zake na ataanza kufuata na kusaidia kutimiza ndoto za mumewe

So kwa kifupi ni kwamba mahari ni kama fidia kwa familia ya mwanamke sababu imelose wakati ya mwanaume imegain

Na ndiyo maana kwa wazungu si ajabu kukuta mtu anatumia majina ya koo zote mbili ya baba na mama na kwao mwanamke akiolewa wazazi hawalose chochote ndiyo maana hawana huo utamaduni
 
Love ipo kwa mama pekee. Wanawake wengine all they can offer u is sex period.
Kwa hapa nakuunga mkono Wanawake wa siku hizi wamepoteza upendo ndio maana siku ikatokea umepigika mfukoni masimango ndipo yanapoanzia hata kipindi chote ulichomudumia hakumbuki
Lenie na Demi hii hoja mnahijibu vipi?
 
Acha kabisa ukifulia ndio utajua kuwa mwanamke yeye ni kuchukua tuu hana lingine.
Ngoja waje wakule jibu tuwasikie
 
Mtoa mada sote tunajua kwamba afrika mwanamke akiolewa inahesabika familia yake imepoteza mtoto wakati familia ya mwanaume imeongeza mtoto

Yani ukiachana na shukurani kwa wazazi wa mke kwa kumlea mtoto wao hadi wewe ukamuoa

Lengo lingine ambalo hilo ndiyo kubwa zaidi la familia ya mwanaume kutoa mahari kwa familia ya mwanamke ni sababu mwanamke anaondoka kwenye ukoo wao anaenda kwenye ukoo wa mwanaume

Ina maana ataacha kutumia jina la ukoo wake na kuanza kutumia jina la ukoo wa mwanaume na watoto watakaozaa pia ni hivyo hivyo

Anaacha kujenga ukoo wao anaenda kujenga ukoo wa mwanaume pia bila kusahau ataachana na ndoto zake na ataanza kufuata na kusaidia kutimiza ndoto za mumewe

So kwa kifupi ni kwamba mahari ni kama fidia kwa familia ya mwanamke sababu imelose wakati ya mwanaume imegain

Na ndiyo maana kwa wazungu si ajabu kukuta mtu anatumia majina ya koo zote mbili ya baba na mama na kwao mwanamke akiolewa wazazi hawalose chochote ndiyo maana hawana huo utamaduni
Umefafanua vizuri Sana je wewe unaona kuna ulazima wowote wa familia ya mwanaume kupangiwa mahali kwa kiwango chochote
 
Back
Top Bottom