Swali kwa wanawake: Kwanini mwanaume alipe Mahari?

Swali kwa wanawake: Kwanini mwanaume alipe Mahari?

Anatoa mbususu uipendayo😆
Ah mbususu yenyewe mpaka uipate stress kibao mara upimiwe utamu mara usipokuwa na pesa hupewi. Shida ya nini yote hiyo?
Alafu unakulaje nyama hiyo hiyo moja bwana. Variety is the spice of life
 
Ah mbususu yenyewe mpaka uipate stress kibao mara upimiwe utamu mara usipokuwa na pesa hupewi. Shida ya nini yote hiyo?
Alafu unakulaje nyama hiyo hiyo moja bwana. Variety is the spice of life
Wewe umejuaje na hujawahi kuwa na mpenzi wa kudumu? Jf imekuharibu sana...natamani nikuchape bakora ubadilike.
 
Jibu

Jibuni mkiwa hamjavuta basi.
Shukrani kwa wazazi, kwani mwanamke Hana wazazi? Hajatunzwa au kulelewa na wazazi?

Binafsi sioni umuhimu, Ni ukandamizaji tu na kutengeneza mazingira ya utumwa kwa mwanamke.


Ujinga mkubwa, kwahiyo ukimuchukus bila mahari ndio sio utumwa???.

Ila ukitoa mahari mwanamke anabadilika kua mtumwa ???

Mahari na utumwa , wapi na wapi???.


Mnapowachukua Bure sibado Huwa vipigo palepale na matesi palepale... Walotoa mahari pia sibado Huwa wanawapiga wake zao na matesi vilevile??


Sasa mahari na utumwa wapiwapi???
 
Kumbuka pia mwanaume nayeye anazo natural responsibilities ambazo kama ni kigezo cha msingi (kama ulivyo bainisha) anapaswa kulipiwa mahali pia.

1. Kutunza familia (financially)
-mfano: Kusomesha watoto
-mfano: Kugharamia matibabu mke anapougua

2. Kulinda familia (from external threats)
-mfano: Magonjwa

3. Kumridhisha mke wake kimwili.

N.k


Je mwanaume hastahili kulipiwa mahali?
Hastahili hata Mungu alimwambia utatafuta kwa jasho so lipa mahari kaa kimya wewe huna majukumu kama mwanamke jua hilo
 
Wewe umejuaje na hujawahi kuwa na mpenzi wa kudumu? Jf imekuharibu sana...natamani nikuchape bakora ubadilike.
Nakuja basi unispank...actually is one of my fantasys😜
Nimejuaje kivipi. Wee nipo jobless hamna mwanamke ananitaka lakini hapa bimkubwa ananipikia chakula vizuri tuu, huo ndio upendo.
Nyie bwana tusidangnyane hapa kwamba mna true love
 
Vijana wa siku hizi banaa, yaan mnapenda vya Bure Bure, mpate Wanawake wa Bure, muwale Bure, wakiomba Hela za matunzo mnasingizia "Demu malayaaa, nmemtema Kwa Kupenda Hela"

Mamaeee.

Na Kupenda Bure mpaka kwenye starehee, na pombe za Bure, mmejikuta mnawatunuku wanaume wenzenu.



Mahari sio suala la Mwanamke, Mahari ni suala la Lazima , Shukran , Heshima Kwa wazazi/walezi wa mwanamke uliyomuona anafaa kua Mke wako!!.
[emoji106]
 
Nakuja basi unispank...actually is one of my fantasys😜
Nimejuaje kivipi. Wee nipo jobless hamna mwanamke ananitaka lakini hapa bimkubwa ananipikia chakula vizuri tuu, huo ndio upendo.
Nyie bwana tusidangnyane hapa kwamba mna true love
Haupo sawa.
Na umri wote huo unamzungumzia mama?
 
Back
Top Bottom