Swali kwa wanawake: Kwanini mwanaume alipe Mahari?

Swali kwa wanawake: Kwanini mwanaume alipe Mahari?

Unadhani ni kwanini heshima hiyo hiyo hapewi mzazi/mlezi wa mwanaume?


Kwa sababu Muoaji ni Mwanaume , mwanamke hakufati umuoe, wewe unafata umuoe.


Kwamba unataka Sasa, Mahari utolewe wewe ??.

Hivi unajua Mahari Kwa upande mwingine unaonyesha ukuu ,ubaba ,uanaume wako wewe ? .
 
Wahindi mwanamke ndio anatoa ? Waulize nao kwanini Watoe?!!!

In short huu ni utamaduni tu ambao watu wanajiamulia..., ingawa naona logic yake ni kama appreciation ya mwanaume kwa wazazi kumtunzia mke..., kwahio mimi naona hata gesture, au kuwapa mkono tu ingetosha sio lazima iwe extravagant..., ila mgao kwa mabibi, makaka n.k. sio mbaya ni njia tu ya kukuza mahusiano (so logically it makes sense)
 
I agree somehow kwamba mahari itwajwe kiasi cha wastani isimkandamize mwanaume ili mwisho wasiku awe na raha yakuhudumia .
Ukimkamua yote kuanzia mahari , harusi mkianza maisha mnakula maharage kisa ulikuwa unafuta hela zenu za matumizi .

Ila kwangu lazima anigharamie mahari kubwa kushinda vingine mimi hata harusi haitokuwa kubwa na sendoff sijui kitchen party kwangu hamnaga yeye anipie tu mahari ya gharama najua kwanini
 
Jibuni mkiwa hamjavuta basi.
Shukrani kwa wazazi, kwani mwanamke Hana wazazi? Hajatunzwa au kulelewa na wazazi?

Binafsi sioni umuhimu, Ni ukandamizaji tu na kutengeneza mazingira ya utumwa kwa mwanamke.
Nilimaanisha mwanamme siyo mwanamke.
 
Ndicho kinachoongelewa hapa..mahari ni mipango ya kula mbususu
Sawa. Ila mie nakula mbususu bila hiyo mahari. Ndoa nikujifunga tuu. Yaani mitako imejaa duniani mizuri mizuri wee ukatulie na tako moja tuu🤣🤣🤣🤣 labda kama sina hela.
 
Wahindi mwanamke ndio anatoa ? Waulize nao kwanini Watoe?!!!

In short huu ni utamaduni tu ambao watu wanajiamulia..., ingawa naona logic yake ni kama appreciation ya mwanaume kwa wazazi kumtunzia mke..., kwahio mimi naona hata gesture, au kuwapa mkono tu ingetosha sio lazima iwe extravagant..., ila mgao kwa mabibi, makaka n.k. sio mbaya ni njia tu ya kukuza mahusiano (so logically it makes sense)
Umenena vema.
Ndio maana hakuna kiwango maalum cha mahari, ni makubaliano ya familia
 
Sawa. Ila mie nakula mbususu bila hiyo mahari. Ndoa nikujifunga tuu. Yaani mitako imejaa duniani mizuri mizuri wee ukatulie na tako moja tuu🤣🤣🤣🤣 labda kama sina hela.
Sina tatizo wewe usipo oa. Ni maamuzi yako na wengi wanatamani wasinge oa ama kuolewa.
Tatizo langu kwako unaweza sema kitu cha ajabu mtu akashangaa, kuna kitu kimekuathiri hadi umekuwa hivyo.
 
Sio shida huo mdio ukweli. How else do u explain watu kucheat kama kweli mwanadamu ameumbwa kutulia na mbususu au de libolo moja tuu
Kucheat na kutulia na mtu mmoja ni maamuzi/tabia binafsi za mtu.

Kuna mwingine katembeza show sana ila baada ya kuoa katulia maana kaona hamna jipyaa huku mwingine alikua mwema then baada ya kuoa imekua kama fungulia mbwa
 
Sina tatizo wewe usipo oa. Ni maamuzi yako na wengi wanatamani wasinge oa ama kuolewa.
Tatizo langu kwako unaweza sema kitu cha ajabu mtu akashangaa, kuna kitu kimekuathiri hadi umekuwa hivyo.
Kitu gani cha ajabu tena jamani
 
Kucheat na kutulia na mtu mmoja ni maamuzi/tabia binafsi za mtu.

Kuna mwingine katembeza show sana ila baada ya kuoa katulia maana kaona hamna jipyaa huku mwingine alikua mwema then baada ya kuoa imekua kama fungulia mbwa
Kwa hiyo bado unarudi pale pale kuwa bado mwanadamu hawezi tulia na mbususu moja au de libolo moja tuu
 
Ujinga mkubwa, kwahiyo ukimuchukus bila mahari ndio sio utumwa???.

Ila ukitoa mahari mwanamke anabadilika kua mtumwa ???

Mahari na utumwa , wapi na wapi???.


Mnapowachukua Bure sibado Huwa vipigo palepale na matesi palepale... Walotoa mahari pia sibado Huwa wanawapiga wake zao na matesi vilevile??


Sasa mahari na utumwa wapiwapi???
Ngoja hangover ikutoke utaelewa tunamaanisha nini GT.
Usidhani hii mada Ni mara yake ya kwanza kuletwa humu leo. Ilishaletwa kwa uandishi tofauti hivi ilivyo.
 
Hilo lipo wazi halina mjadala. Anayeweza hilo ana tatizo mahali
Vizuri angalau wee umekubali ukweli wa mambo. Basi tupeanage tuu bila haya mambo ya mahari na ndoa maana lengo ni kuenjoy au sio mrembo
 
Sawa. Ila mie nakula mbususu bila hiyo mahari. Ndoa nikujifunga tuu. Yaani mitako imejaa duniani mizuri mizuri wee ukatulie na tako moja tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] labda kama sina hela.
Hii ni mentality yako tu, kutulia ama kutotulia pia ni maamuzi yako.
 
Back
Top Bottom