Swali kwa wanawake: Kwanini mwanaume alipe Mahari?

Swali kwa wanawake: Kwanini mwanaume alipe Mahari?

Kwa hapa nakuunga mkono Wanawake wa siku hizi wamepoteza upendo ndio maana siku ikatokea umepigika mfukoni masimango ndipo yanapoanzia hata kipindi chote ulichomudumia hakumbuki
Lenie na Demi hii hoja mnahijibu vipi?
Love ya mzazi na mpenzi ni tofauti. Hata mama akupende vipi kuna vitu utakosa mama hataweza kukufanyia
 
Mahari ni ushenzi fulani tu usio na Maana katika nchi masikini kama Tanzania.

Haina faida yoyote,
Haileti furaha
Haileti elimu
Haileti afya
Haiongezi upendo
Haiongezi imani
Haiondoi mitafaruku
Haitatui changamoto yoyote kwa taifa na mtu mmoja mmoja.

Ni zawadi ambayo inaishia kwenye mambo ya ajabu kama ulevi n.k

Binti yangu sitamuuza kwa kitu kinaitwa mahari, kama wamependana wakaishi mahari Haiongezi wala kupunguza chochote
 
Lengo la ndoa ni kujenga familia.
Wewe mwenzetu ni kama una pepo la mbususu..kama vile unaikomoa mbususu mwisho wa siku utagundua unajikomoa mwenyewe.
Hujali hata unapochomeka dushe lako ilimradi tu liwe shimo.
Bar maids wewe , wale buguruni twende kazi...kwa wahaya upo pia....nahisi vilinge vyao vyote unavijua. Hapo bado wa mtaani.
Huoni kizuri kwa mwanamke hata kwa kiasi kidogo...as if unalipiza kisasi
Hapa nawaunga ndoa inafaida yake hata pale unapoumwa kuna kuwa na back up ya mke, kuna kudumiwa kwenye misosi, kuna muda unapata wasaa wa kuongea na familia yako kufurahi lakini pia kubadilishana mawazo hata sometimes unapopitia kipindi kigumu kuna kuwa na mtu wa karibu mkewe wakukufariji na kukupa moyo hii ipo kama umepata mwanamke sahihi wa kuingia nae kwenye ndoa. mkuu mzabzab hayo huyaoni? maisha ya ubachela sio mazuri ebu Lenie na Kelsea msaidieni jamaa yetu huyu
 
Hapa nawaunga ndoa inafaida yake hata pale unapoumwa kuna kuwa na back up ya mke, kuna kudumiwa kwenye misosi, kuna muda unapata wasaa wa kuongea na familia yako kufurahi lakini pia kubadilishana mawazo hata sometimes unapopitia kipindi kigumu kuna kuwa na mtu wa karibu mkewe wakukufariji na kukupa moyo hii ipo kama umepata mwanamke sahihi wa kuingia nae kwenye ndoa. mkuu mzabzab hayo huyaoni? maisha ya ubachela sio mazuri
Hatuna hela kaka ndio maana tunakuwa mavachelor sio kwa kuoenda🤣
Alafu ukiwa nanhela unadhani basi utakosa wakukuhudumianukiwa hnaumwa wewe....wanawake wapo gayari kutulia na mwanaume ata bila ndoa cha msingi hela unayo na huduma anapata. Kikwazo ndalama tuu.
 
Love ya mzazi na mpenzi ni tofauti. Hata mama akupende vipi kuna vitu utakosa mama hataweza kukufanyia
Love ni neno dogo lenye maana kubwa sana sio suala la kusema mapenzi ya mama na ya mpenzi ni tofauti ni kwamba kubali si Wanaume wala wanawake wenye kuishi kwenye upendo labda kama upendo una maana gani
 
Kuhusu sheria za kizamani kuandikwa na "wanaume" tu sina uhakika nalo.

Kuhusu vitabu vya "DINI".
Je wanaume hao waliandika hivyo vitabu kulingana na matakwa yao au kulingana na matakwa ya "MUNGU"?

.......Je unamaanisha majibu wanayo wanaume walio andika vitabu vya Dini (je waliandika kulingana na mayakwa yao?).

.......au itatupasa kumuuliza MUNGU aliye watuma hao wanaume waandike hivyo vitabu kwa niaba yao?

Tusaidie msimamo wako juu ya hizi pande kinzana.
Kwann mungu hakutuma wanawake kuandika vitabu?
 
Hatuna hela kaka ndio maana tunakuwa mavachelor sio kwa kuoenda🤣
Alafu ukiwa nanhela unadhani basi utakosa wakukuhudumianukiwa hnaumwa wewe....wanawake wapo gayari kutulia na mwanaume ata bila ndoa cha msingi hela unayo na huduma anapata. Kikwazo ndalama tuu.
Sawa nimekupata mkuu
 
Tufanye kweli ni agizo la Mungu..

Dini ya kikristu imeletwa na wazungu...naomba uniambie kama wazungu wanatoa mahari wakitaka kuoa. Hadi sasa sijawahi kusikia wala kuona hata mwenye movies...
Mahari sio agizo la dini kwenye ukristo
..ila ni agizo kwenye uislam
.
Wakristo wanatoa/kupokea mahari kwa kufuata mila za kikabila wala sio dini.
 
Mahari sio agizo la dini kwenye ukristo
..ila ni agizo kwenye uislam
.
Wakristo wanatoa/kupokea mahari kwa kufuata mila za kikabila wala sio dini.
Ni sawa mkuu. Kwenye ukristu hakuna mahari that's y nimemwambia aseme wapi pameandikwa.
 
Ahsante kwa wazazi... ila ngoja waje kukupa muongozo...
 
Sheria zote za kizamani humu duniani na vitabu vya dini vimeandikwa na mwanaume. Jibu mnalo nyie
No, siyo jibu. Kuna sababu ya msingi. Unamchukua mwanangu kwenda kukujengea familia. Mimi nakosa msaada wake maana si wangu tena, sitapata mtoto wa kutma , kuyteka maji, kuchanja kuni etc etc. Sina wa kunilimia tena. . Unatoa shukrani kwangu na kunifuta machozi na investment niliyotumia kumfikisha hapo.
 
No, siyo jibu. Kuna sababu ya msingi. Unamchukua mwanangu kwenda kukujengea familia. Mimi nakosa msaada wake maana si wangu tena, sitapata mtoto wa kutma , kuyteka maji, kuchanja kuni etc etc. Sina wa kunilimia tena. . Unatoa shukrani kwangu na kunifuta machozi na investment niliyotumia kumfikisha hapo.
Kwanini usifanya pia kwa mtoto wa kiume? Yeye hakusaidii kazi yoyote hapo nyumbani?
 
Ningependa kupata mtazamo wa wanawake waliopo hapaa Jukwaani kuhusu suala la mwanaume kulipa mahari anapotokea amempenda mwanamke fulani na anahitaji kuishi naye.

Naomba kufahamu ni kwanini unadhani ni halali/lazima "Mahari" itolewa kuelekea upande wa Mwanamke?
Mahari inatolewa kama shukrani wazazi wa mwanamke kwa uzazi, ulezi na matunzo au makuzi ya bint yao wa kike!
Lakini hivi sasa kumekuwepo na vurugu kubwa kwenye suala la mahari watu wanataja tu gharama wengine kwa kuangalia elimu ya bint wakati hata asingesoma angeolewa tu!
Shida kubwa zaidi inakuja pale bint ameshaolewa na kuachika mara 2 na mote amezaa watoto lakini mkimgusa tu nawe unadaiwa mahari ulipe kwa mara ya 3 hapa nazani kuna sheria inahitajika!
 
Back
Top Bottom