Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,214
- 50,188
Kwa sababu ni sheria ya kiafrika na kidini kwa baadhi ya madhehebuSawa tumekuelewa.
Ila uzi ulihitaji zaidi mtazamo wako wa "KWANINI mwanaume alipe mahari?"
Kijana akitaka kuoa lazima alipe mahari ili kupewa huyo binti