Swali Kwa wanaume?

Swali Kwa wanaume?

1Africa54

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
462
Reaction score
540
Ni vyakula gaini haswa ni vizuri kwa afya ya uzazi wa kiume?

Ulipo ona unawahi ku mwaga wazungu ulifanya ni nini kurekebisha na kupona ili tatizo?

Mwisho ni kweli kama umeweza kumfikisha mwanamke flani kileleni orgasm je utaweza kwa kila mwanamke?
 
inatakiwa K unaichapa mikono vululu kama chid wa ilala,

unaipiga leo kesho unaacha lazima umwage mapema,,

fanya ivi ichape jion, ichape usiku, ichape asubuhi,, fululiza tu,,, utaona matokeo yake

ila kama mchuchu anachoyo huwez pata matokeo
 
asilimia 100 hi nikweli kabisa unapofanya kwa nadra sana lazima utawahi kumwaga ata uende mara 4 lazima utawahi tu hii inatakiwa ifanye mara kwa mara tatizo litaisha kabisa la kuwahi kumwaga
 
Kuhusu vyakula unaweza tajiwa vyakula ambavyo hauwezi afford kula siku, badala yake jijengee mazoea ya kutafuna vitunguu swaumu (punje 2-3) kwa siku na tangawizi kidogo, siyo lazima iwe nzima.

Jijengee pia mazoea ya kufanya mazoezi kama jogging, pushups, squats, na mazoezi ya kegeli.

Ishu ya kumfikisha mwanamke kileleni si ya kila mwanamke.
 
asilimia 100 hi nikweli kabisa unapofanya kwa nadra sana lazima utawahi kumwaga ata uende mara 4 lazima utawahi tu hii inatakiwa ifanye mara kwa mara tatizo litaisha kabisa la kuwahi kumwaga
kabisa mkuu,, mapenz ni kama mazoez.
unapofanya mara kwa mara ufanisi unaongezeka, kikubwa uliye naye asiwe na masharti.
unaichapa hadi utelezi unakauka anaanza kuumia unamuonea huruma anaacha ipoe 💦
 
asilimia 100 hi nikweli kabisa unapofanya kwa nadra sana lazima utawahi kumwaga ata uende mara 4 lazima utawahi tu hii inatakiwa ifanye mara kwa mara tatizo litaisha kabisa la kuwahi kumwaga
Yaani kutomer mara kwa mara kutwa mara3😂🙌
 
inatakiwa K unaichapa mikono vululu kama chid wa ilala,

unaipiga leo kesho unaacha lazima umwage mapema,,

fanya ivi ichape jion, ichape usiku, ichape asubuhi,, fululiza tu,,, utaona matokeo yake

ila kama mchuchu anachoyo huwez pata matokeo
Mkuu , unamaanisha 24/7 ama 😸
 
unamuachia pale anapoanza kukoroma, lakin yupo macho unamwangalia, fake you😡
 
Ivi uume kusimama imara ndio uwezo wa kufanya mda mrefu?
  • Ni dhana mbili tofauti.
  • Swala la Muda: Kuna point tatu hapa chini.
1. Hutegemea na Afya yako (hili huendana na lishe, Mazoezi),
2. Jinsi chemistry yakjo na mpenzi wako ilivyo.
3. Rate ya kukutana kwa siku/ wiki/ mwezi - Hutofautiana kati ya mtu na mtu.
 
Back
Top Bottom