Nyaubikra
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 1,705
- 4,093
Ukiwa mpikaji au mtu wa jikoni unaweza kuinua sufuria bila banio likiwa kwenye jiko lenye moto mkali ukaweka chini au mahali kama chakula kinaungua na vidole visipate shida mana ni mazoea.usilete uzungu baba, ikisimama nchale,, ikilala pumzika,, ikichimamatena nchale
Ila mtu wa ofisini sana na hajui kupika hyo sufuria ikiungua hawezi hata kuisogelea mpk apate kitu Cha kutoa na akijaribu kushika bc vidole vitaungua.
Mkuu leo umenifungua kitu tissue zinazoea joto na kuhimili endapo ukizizoesha mara Kwa mara.