Swali kwa Wanaume

Nijibu hili swali moja tu na mwanaume ambaye hajajitunza naye tumuweke kwenye kundi gani? Kama hauna hoja lazima ukiambiwa ukweli useme ni povu nijibu hilo swali hapo


Sasa wewe ni nani mpaka ujilinganishe na Mwanaume?

Kama hujui maandiko ya kiroho kwenye Biblia na Quran. Au hata kwenye matambiko ya kijadi huwezi elewa nazungumzia nini.

Swali lako muulize aliyekuumba mwanamke maana yeye ndiye katoa sheria ya kuoa bikra na hajamconsider mwanaume.
 
Hahaha...halafu nasikia visiwani...wengi huolewa na bikira(forward),lakini bikra ya upande wa mashariki haipo...
 
Hahaha...halafu nasikia visiwani...wengi huolewa na bikira(forward),lakini bikra ya upande wa mashariki haipo...
Ni kweli hayo yapo na yanafanyika,inasikitisha sana kwa dhambi hii,japo wapo ambao huolewa na bikira zao zote.

Lakini balaa zaidi unakuta mdada hana bikira ya mbele na nyuma hana kitu pia manake empty both sides.
 
Absolutely..
 
Ni kweli hayo yapo na yanafanyika,inasikitisha sana kwa dhambi hii,japo wapo ambao huolewa na bikira zao zote.

Lakini balaa zaidi unakuta mdada hana bikira ya mbele na nyuma hana kitu pia manake empty both sides.
Aisee...tupo kwenye nyakati mbaya mnoo,.aso hili ana lile
 
yaan unataka ununue nguo bila kuijaribu kama ni ndogo au kubwa...
Manguo ya mtumba ndo yanajaribiwa.

Nguo mpya safi ya duka kutoka duka classic hutothubutu kujaribu.

Ukiona umempata mwanamke akakupa uchi kabla ya ndoa kwa kigezo cha kujaribu jua HUYO DADA NI MTUMBA NA HAJIAMINI.

Mwanamke wa duka hawezi kukuacha ujaribu kwa kuwa ana uhakika wa bidhaa yake.

Mambo ya kujaribu ni mitumbani huko.
 
Daah wewe mgumu kuelewa aisee wewe bwabwaja hapo ila kaa ukijua kuwa kujitunza kunahitajika kote kwa wanaume na wanawake na siyo kwa wanawake tu

Na hiyo ndo point yangu na vitabu vya dini vimeagiza tusizini wala tusiwe na wake au waume wengi na kwa mantiki hiyo basi ina maana kwamba jinsia zote hazitakiwi kuzini bali kusubiri hadi ndoa

Sasa wewe unalazimisha kwamba wanawake ndo wajitunze halafu wanaume wazini sasa ndo ujiulize inawezekanaje jinsia moja kujitunza halafu nyingine inazini hiyo inayozini inafanya na kina nani sasa na wanyama au?

Hebu labda unijibu hapo wakati wanawake wanajitunza wanaume mnakuwa mnazini na kina mbona haujibu unazunguka tu na kulazimisha vitu ambavyo haviwezekani yaani unaongelea maandiko wakati huo huo unatetea uzinzi?
 
Mkuu jibu hili swali wakati wanawake wanajitunza wanaume mnakuwa mnafanya mapenzi na kina nani?
 


Mkuu unafikiri sikuelewi. Mwanamke akijitunza automatic mwanaume hana ujanja.

Wewe kwa akili yako unafikiri ni kwa nini mtoto wa kike ndiye anafungiwa ndani zaidi kuliko mtoto wa kiume.

Ukimtunza mwanamke umeitunza jamii. Ukimharibu mwanamke umeiharibu jamii.

Wazazi siku hizi wamewaacha watoto wakike bila uangalizi ndio maana jamii imeharibika. Ebu angalia jamii ambazo bado mpaka leo wanawake wapo chini ya uangalizi alafu angalia maadili yao yalivyo.

Nikupe mifano huenda hujui.
Angalia Waarabu, Wahindi, Wayahudi, Wamasai n.k.

Kama mkuu huna bikra muombe msamaha mumeo tuu naye atakusamehe.
 
I
 
KAMA ATAKUA NA UHUSIANO NA MM NA HAJAWAHI KUWA NA UHUSIANO NA MTU MWINGINE NTAHESHIMU MAWAZO YAKE ILA KAMA AMEWAHI SITA MWACHA ILA NTAKUA NA MTU MWINGINE HUKU YY AKISUBIRI NDOA IFUNGWE THEN SEX IHAMIE KWAKE
 
Kama hataki kunitunuku sasa mimi naoaje bila kujua kama yaliyomo yamo?
 

Sawa mkuu wewe unajua
 
Haha Mimi sipendi 'chini' as i said before mama.
Kama ni tunda bado halijaliwa ntasubiri mpaka ndoa
Lakini kama siyo why aniambie mpaka ndoa.
wakati tunda tiyari limeshamenywa na kuliwa na waume wenza
 
Kwa bahati mbaya nina mwanaume anayejielewa na ambaye hakariri maisha kama wewe anajua kuwa bikira siyo ticket ya kudumu kwenye ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ