Swali kwa Wanaume

Safari njemaa..!

Kila la kheri na Mitumba yako.

Kwa kweli ni ujasiri sana kuoa mwanamke Used. Mungu atusaidie sana.

Nguo mtumba
Gari mtumba
Mke mtumba
watoto mitumba
Ukoo mitumba.
Khaah yaani utaitwa Bwana mitumba. Hahah
 
Na mm namjibu tu "No money before marriage"
 
Hili tulishalijadili. Tena wa hivi wanakuwaga mafundi wa mizinga!
 
Vip mkuu hebu nipe msaada hao wanaosemaga bila ndoa wapo vipi?kwa sababu mimi huwa najiheshimu kwa kiasi flani hivi lakini nawaona mademu wanaleta shobo wanataka ndoa,ooh sijui naenda kuwatolea mahari nk.Hapa nikajua kuwa mtu ukiwa mstaarabu kidogo unaweza kumchukua hadi malaya nyumbani
 
Mkuu naona wewe hapa hauleti hoja unaleta mfumo dume tu kwamba sijui wanawake tusishindane na wanaume okay ngoja nikuulize swali kwanini iwe ni mwanamke asiyejitunza tu ndo awe ni mikosi kwa mumewe na kwanini siyo mwanaume asiyejitunza naye awe ni mikosi kwa mkewe tuanzie hapo kwanza?

Halafu mimi kusema ajitunze siyo kwamba nataka ushahidi wa alama bali nafsi yake imshuhudie mwenyewe kwamba hajawahi kufanya mapenzi na mwanamke maana hata ukisema eti sisi wanawake ndo tuna alama kumbuka kwamba kuna exceptions

Maana kuna wanawake ambao wakiwa wanatolewa usichana wao hawatokwi na damu na kwa taarifa yako kuna wale ambao wana bikira feki na ukiziangalia zipo kama original kwahiyo hapo ishu siyo alama ishu ni ukweli ndani ya moyo wa mtu ndo maana nasema siku hizi kupata mwanamke anayejitunza ni ngumu

Sababu wanaume wanaojitunza nao hawapo wote mnataka sex before marriage na msipopewa mnawaacha watoto wa watu na hauwezi kutulaumu wanawake eti kwanini tukitongozwa tunakubali badala ya kujilaumu wenyewe kwanini mnatutongoza kwahiyo hapo jiulize kati ya mimi na wewe nani katolewa hadi bikira ya ubongo
 
Ukikua utaacha...
Mkuu huyu nilichogundua kichwani kwake hawazi chochote zaidi ya mfumo dume tu yaani badala ya kuja na hoja anakuja na itikadi zake za sijui mwanaume ni mtumiaji na mwanamke ni mtumiwaji something which is not logical wanaume wa hivi wanaishiaga kupata wanawake mazwanzwa tu

Yaani wale wa kila kitu "ndiyo mume wangu" hata mume akisema anataka afanye biashara ya madawa ya kulevya mke atakubali tu hawezi kumshauri mumewe kuhusu maendeleo yoyote maana hawezi kumpinga mumewe sababu akimpinga mumewe ataambiwa yeye ni mjeuri yaani in short this guy seems to be so conservative
 
Na huu msimamo wake ni upuuzi ambao kuna mjinga mwenzie kamjazaa huo ujingaa... So unampuuza tu balehee ikiisha ataacha ujingaa huu
 
Duuh aiseee unaonekana una vitu vyako kichwani ambavyo inahitaji mtu special ndo aweze kuvitibu na unaonekana hauna exposure wala knowledge yoyote kuhusu ndoa za watu tatizo lako unakariri sana maisha ndugu yangu mimi nina mifano hai ya wanawake walioolewa na bikira zao na sasa hivi ndo pasua vichwa na ndo wanawasaliti waume zao

Vile vile kuna wanawake walioolewa hawana bikira na sasa hivi wanafaidi ndoa na waume zao kwahiyo hayo mawazo yako hayana utafiti wowote zaidi ya kuonekana unaandika kwa mihemko hasi juu ya wanawake wasio mabikira sijui walikufanya nini but all I can tell you is that get out of that fantasy world of yours and think out of the box
 
Na huu msimamo wake ni upuuzi ambao kuna mjinga mwenzie kamjazaa huo ujingaa... So unampuuza tu balehee ikiisha ataacha ujingaa huu
kwa kweli ni balehe tu ndo inamsumbua akikuwa ataacha kama ulivyomwambia kule juu ni swala muda tu
 
Hapo lazima mume mtarajiwa awekwe wazi kwamba hamna utepe.

Akiridhika na hali sawa asiporidhikaa basi aende.

Lakini mnakosea sana kuwaamini wanaume ambao bado sio waume zenu
πŸ™„πŸ˜”πŸ˜”
 

Mkuu wee endelea kutoa povu hapo lakini huwezi shindana na ukweli kuwa Mwanamke asiyebikra ni zaidi ya mikosi.

Lakini kwa vile ninyi ni kizazi cha zinaa wala hamuwezi kutambua jambo hilo.

Bila bikra kwa Falme za kiroho wewe ni mkosi na Laana tuu. Subiri wenye laana wenzako waje
 
Nijibu hili swali moja tu na mwanaume ambaye hajajitunza naye tumuweke kwenye kundi gani? Kama hauna hoja lazima ukiambiwa ukweli useme ni povu nijibu hilo swali hapo
 


Exposure ya Zinaa sina mimi.

Wewe tafuta wenye exposure na wala mapagama wakina Rikiboy. Wazee wa Mitumba lakini huwezi pata watu makini kama sisi.

Yaani nitumie mtumba wakati uwezo wa kutumia kitu kipya ninacho thubutu.

Alafu lazima ujue kuwa mwanamke kuolewa akiwa bikra ni agizo la Muumba sio agizo langu.

Sasa wewe kalia hapo ku-think out of box kuwalisha wenzako uchafu.

Utawakamata hao wenye exposure ya Kidunia lakini sio ya ulimwengu wa roho. Bila bikra wewe ni laana na mkosi kwa mumeo.
 
Naam mother ni hiyana na udanganyifu mkubwa sana kumficha mchumba ukweli kuhusu bikira.

Huku zenji jamaa amejizuia hakuzini nae,akajua bikira,na mwanamke hakusema.basi jamaa siku ya siku anashangaa hakuna breki daaah jamaa yu hoi akadai mahari yake wee ugomvi mkibwa sanaaa.

Sasa bora kuwekana wazi mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…