Swali kwa wanaume wanaotongozwa na wadada

Swali kwa wanaume wanaotongozwa na wadada

Miak ya nyuma sana niliwai andikiwa barua ya kutongozwa na mwanamke kwanza ilibidi nimfahamu maana mpaka naletewa barua na rafiki yake sikuwa namjua .. daaah nilivyomwona siku hiyohiyo nikaomba mchezo. Kuna kama matukio mawili hivi nilisepa kwanza mmoja alikuwa mrahisi sana yoyote anapita naye, mwiingine figure hakuwa type yangu.
Inshort inategemeana na mwanamke mwenyewe kama ni kisu ama la..
 
Nitongozeni PM basi na mimi nipate experience
 
Back
Top Bottom