Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,834
- 168,080
- Thread starter
- #161
Rey siku hizi full GospelHaahhhhaa nataman unirithishe ugenius wako aisee!...nikija tukae mm ,ww ,dk na rey!uwiiiii
Rey siku hizi full GospelHaahhhhaa nataman unirithishe ugenius wako aisee!...nikija tukae mm ,ww ,dk na rey!uwiiiii
Unakuja lini nikupeleke ukale nyama ya sungura Oceanic Beach Resort?Haahhhhaa nataman unirithishe ugenius wako aisee!...nikija tukae mm ,ww ,dk na rey!uwiiiii
ptu!mie na masungura wapi na wap buju!akuuuu!Unakuja lini nikupeleke ukale nyama ya sungura Oceanic Beach Resort?
Basi ntakupeleka ukale kuku wa kienyeji Na kangaptu!mie na masungura wapi na wap buju!akuuuu!
kuku,mbuzi!mie ng'ombe sio mpenzi!poa bro akeBasi ntakupeleka ukale kuku wa kienyeji Na kanga
hahhahah nimepoteza namba zake!unipe pm...hongera zenu aiseeRey siku hizi full Gospel
nakuletea soonhahhahah nimepoteza namba zake!unipe pm...hongera zenu aisee
thnxnakuletea soon
Ewaaaa... now you are talking!Tukutane Family kwenye mdudu
Uchoyo tu... unaona ntakufaidi sio?Babu me thiweziii
[emoji22][emoji22][emoji22]Uchoyo tu... unaona ntakufaidi sio?
Uko kama mimi, kama sijavutiwa na wewe sikukuli.napenda kula chakula nachotaka sio sababu kinaitwa chakula tu. japo ni ukweli kuwa wanaume wengi ni ngumu kuchomoa akitongozwaJapo sisi ni dhaifu sana kwa wanawake hasa wanapotutongoza,mimi huwa jasiri kwa mwanamke ambae sijamwelewa hata.
Sex is all about feelings mzee
Mmoja Tu, Utafiti Utakuwa HaujakamilikaNgoja nitafute mtu nimwambie nampenda. Nione kama atanikataa.
Ndio wanasema wale wanajiaminiHivi kuna mwanaume akitongozwa na mwanamke anaweza kusema, samahani dada nina mpenzi wangu siwezi kumsaliti?
Wewe kwako wanaingia wangapi? (nasikia wewe umewategeshea kwa tabasamu lako)[emoji23]muulize mshana naskia yeye kategesha kila siku lazima watano waingie pm.
ila yeye anatumia mzizi.