Lucky One
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 663
- 431
Duuhh kumbe na wao wanahenyeka kweli kweli.... Kweli dunia ina mamboTena naringa kinoma mixer kumwambia acha nijifikilie na mbwe nyingne kibao
Duuhh kumbe na wao wanahenyeka kweli kweli.... Kweli dunia ina mamboTena naringa kinoma mixer kumwambia acha nijifikilie na mbwe nyingne kibao
hah aaahaa saivi wanaume tumebadilisha hatutaki tena chura tuna kikao tuone tuanze kutaka nini kipya ila mie mapengo kipaumbele🙂🙂🙂🙂Huyo mzee wa chura.
Itapendeza.. Twasubiri ila usijezungushwa miezi mitatu hukoNtaleta lazima
Mtatuua jamani. Sasa mapengo mnataka tukatoe meno au?hah aaahaa saivi wanaume tumebadilisha hatutaki tena chura tuna kikao tuone tuanze kutaka nini kipya ila mie mapengo kipaumbele🙂🙂🙂🙂
Mimi ninaanzaSijawahi pata bahati hiyo... hebu mmoja waajitokeze hapa jamvini anitongoze nione ntachukua hatua gani.
Loud and clear.... Au sio MkuuKama hana chura huna haja ya kukubali!
mtajua namna ya kuyapata kwani chura mwazitoa wapi?Mtatuua jamani. Sasa mapengo mnataka tukatoe meno au?
Tumezaliwa nazomtajua namna ya kuyapata kwani chura mwazitoa wapi?
basi mapengo mtatengereza na mtayanunua dukani ka chura za kuuza hahh haaa haaTumezaliwa nazo
Noma sana... Mtakuwa hamcheki aisee maanaMtatuua jamani. Sasa mapengo mnataka tukatoe meno au?
[emoji23][emoji23][emoji23]Loud and clear.... Au sio Mkuu
Wengine hata nyota ya kutongozwa hatuna sembuse kukataa mzigo?? acha utani bwanaHivi kuna mwanaume akitongozwa na mwanamke anaweza kusema, samahani dada nina mpenzi wangu siwezi kumsaliti?
mapengo yatakuwa dili ka chura weeeeeeNoma sana... Mtakuwa hamcheki aisee maana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Noma sana... Mtakuwa hamcheki aisee maana
ha haaa haaaaWengine hata nyota ya kutongozwa hatuna sembuse kukataa mzigo?? acha utani bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengine hata nyota ya kutongozwa hatuna sembuse kukataa mzigo?? acha utani bwana