Swali kwa wanaume wanaotongozwa na wadada

Swali kwa wanaume wanaotongozwa na wadada

Hivi kuna mwanaume akitongozwa na mwanamke anaweza kusema, samahani dada nina mpenzi wangu siwezi kumsaliti?

Hahahaaa very rarely!

Na ndo maana ni rahisi sana kwa mwanamke kuchiti kuliko mwanaume.

Mwanaume kukataa ‘easy pussy’ ni jambo gumu sana. Hata kama hajavutiwa kivile na mwanamke, mwanaume yuko tayari ku fake it until he makes it [act like he likes the girl until he beds her].

Mwanaume kukataa ‘easy pussy’ ni sawa na Simba kukataa nyama!

That’s just how men a wired!
 
That is Manish behavior.
Sisi ni mtambo wa kuleta mimba
 
Mwanaume kutongozwa na mwanamke sio jambo geni kabisa hasa kwa zama hizi. Binafsi ilinitokea karibu mara 3 na niliafiki mara zote kulingana na vigezo nilivyoviweka. Ila kwa uzoefu wangu nilichokiona sio wote wakikwambia wanakupenda wanamaanisha wengine wako after several factors be it sex,muonekano wako,money n.k
 
Back
Top Bottom