mbona hapo jirani sana? punani nimezifuata sana upcountry, dah..... Bora sasa nimezeeka, nimejua ujana kiasi cha kutosha
huo utakuwa Uzi mkali kama album mpya ya Jay Z 4:44Kweli kabisa!
Ipo siku nitashea nanyi humu ‘Ngabu’s pussy chasing adventures’.
Kwani hapa tupo mbele za watu!! Mie nipo mbele ya meza.unaniaibisha kaka yako mambo gani unasema mbele za watu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli kabisa!
Ipo siku nitashea nanyi humu ‘Ngabu’s pussy chasing adventures’.
unataka watu waseme familia yetu tunavisura vichachu dada zangu hawatongozeki ndiyo maana wanatongoza?Kwani hapa tupo mbele za watu!! Mie nipo mbele ya meza.
Nshawah kukataa na kusema nina mtuHivi kuna mwanaume akitongozwa na mwanamke anaweza kusema, samahani dada nina mpenzi wangu siwezi kumsaliti?
Babu hurembagi...[emoji3]Sijawahi pata bahati hiyo... hebu mmoja waajitokeze hapa jamvini anitongoze nione ntachukua hatua gani.
huo utakuwa Uzi mkali kama album mpya ya Jay Z 4:44
Kama ni rafiki wa mpenzi wako huo uhuni kweli. Ila kama mtu hajui una mpenzi akaja utamuitaje muhuni sasa?Mwanamke anayejilengesha namuona kama muhuni flan hivi...
BTW Na muda huo huo mpenzi wangu ni rafiki ako na anakusimulia habari zangu za usiku...
Bali kuna mtu na nusu. Haleluyaaa!hakuna mtu hapa.
Jaribu sasa kwa mwanaume yeyote ndio ujue jinsi inavyokuwa.Nje ya mada: kutongozwa kunakuaje kuaje? Anakufuata anakwambia kaka nakupenda au inakuaje?