Louis II
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 3,030
- 4,651
[quote]Mshana Jr[/quote][B]Enhee[/B] unataka kusemaenhee[quote]Demiss[/quote][B]Duuh kumbe[/B]?alitongozwa Na
[quote]Mshana Jr[/quote][B]Enhee[/B] unataka kusemaenhee[quote]Demiss[/quote][B]Duuh kumbe[/B]?alitongozwa Na
Haha Hahahahaäa Hahahahaäa umenifanya nicheke kwa sauti ya radihuu mtego sasa... hadi wenye midigriii ya atomic si watalipua moyo wangu na engeneering zao.
That is Manish behavior.
Sisi ni mtambo wa kuleta mimba
Hivi ulinitongozaje hadi nikakuletea Lori Zima la mahindi Na maharage?Nje ya mada: kutongozwa kunakuaje kuaje? Anakufuata anakwambia kaka nakupenda au inakuaje?
mbona hapo jirani sana? punani nimezifuata sana upcountry, dah..... Bora sasa nimezeeka, nimejua ujana kiasi cha kutoshaIkija kwenye vajayjay sisi wanaume akili huwa tunaziweka kando kabisa!
Mtu unakuta anafunga safari toka Bunju hadi Buza huko kisa tu anafuata new pussy.
Hahahaaa boy I tell ya!
We men are something else.....
hivyo hivyo tu...mwingine anaweza kuandika # yake ya simu kwenye karatasi alafu anakupa, ukimtafuta anakuelezea...Nje ya mada: kutongozwa kunakuaje kuaje? Anakufuata anakwambia kaka nakupenda au inakuaje?
Inategemea mkuu... Kwa kifupi kuna kama wawili walikua wanajilengesha nikawapa makavu kwamba nna mpenzi na sitaki nimsaliti!!Hivi kuna mwanaume akitongozwa na mwanamke anaweza kusema, samahani dada nina mpenzi wangu siwezi kumsaliti?
Hata sikumbuki [emoji23][emoji23][emoji23]. Nikumbushe nimtongoze mtu mwingine aniletee gunia la mcheleHivi ulinitongozaje hadi nikakuletea Lori Zima la mahindi Na maharage?
Oooh.hivyo hivyo tu...mwingine anaweza kuandika # yake ya simu kwenye karatasi alafu anakupa, ukimtafuta anakuelezea...
Mmmmmh. Mimi ukinijibu hivyo ntakuona gay.Inategemea mkuu... Kwa kifupi kuna kama wawili walikua wanajilengesha nikawapa makavu kwamba nna mpenzi na sitaki nimsaliti!!
NB: nikiona mwanamke anajirahisisha hata kama nlikua na mpango wa kurusha ndoano basi naahirisha!!
Wacha we!!Sijawahi pata bahati hiyo... hebu mmoja waajitokeze hapa jamvini anitongoze nione ntachukua hatua gani.
Hili shambulio la aibu kabisaHivi kuna mwanaume akitongozwa na mwanamke anaweza kusema, samahani dada nina mpenzi wangu siwezi kumsaliti?
Duh... wewe kiboko.Hata sikumbuki [emoji23][emoji23][emoji23]. Nikumbushe nimtongoze mtu mwingine aniletee gunia la mchele
Mwanamke anayejilengesha namuona kama muhuni flan hivi...Mmmmmh. Mimi ukinijibu hivyo ntakuona gay.
shambulio la ticha AYUBUHili shambulio la aibu kabisa