Swali kwa wanaume wanaotongozwa na wadada

Swali kwa wanaume wanaotongozwa na wadada

Kama ni rafiki wa mpenzi wako huo uhuni kweli. Ila kama mtu hajui una mpenzi akaja utamuitaje muhuni sasa?
Kwa kesi yangu kipindi hicho wote walikua wanajua nna mpenzi... Na wanajuana!!

Afu sijasema "namuita" nilisema "namuona"...kuna tofauti hapo...

BTW hata wangekua hawajui ndio kigezo cha kuchepuka?
 
Jaribu sasa kwa mwanaume yeyote ndio ujue jinsi inavyokuwa.

Hizo mbinu utakazotumia kumu approach ndio mtongozo wenyewe
Ngoja nitafute mtu nimwambie nampenda. Nione kama atanikataa.
 
Back
Top Bottom