Swali kwa wanaume 'wajanja'

Swali kwa wanaume 'wajanja'

Ray M

Senior Member
Joined
Sep 23, 2012
Posts
182
Reaction score
61
Mpenzi wako anakutembelea Home kwa kustukiza.
mfukoni Una Mia sita Tu, unaamua kumchukulia cocacola moja ili asione kamahuna kitu.
Halafu wewe unaamua kuchukua chupa ya Sprite unajaza maji, yeye unampa ile Coca we
unakunywa zako maji kwenye ile chupa ya sprite (mpenzi wako anadhani unakunywa soda)
Wakati mkiendelea kunywa,mpenzi wako anakwambia mbadilishane vinywaji.....
Ukiwa kama mjanja, HUU MSALA UNAUSOVU VIPI?
 
Ya nini mtu udanganye hadi kwenye soda?
majanga ya kudate vitoto vya secondary.....hata mia tano ya soda tu ni maafa ukisema unataka wine si anakufa kabisa...nani anakunywa soda zenye sumu siku hizi?
 
Mmmh...! Hayo mapenzi ya kutoambiana ukweli kama umechalala ndio nini?

Aaah... Mie kama mupenzi hana kitu anakuwa muwazi tuu, nami namuelewa na narekebisha mambo, life inasonga..!!
 
Mapenzi ya shule, Nashukuru mie sikupitia anayoputia huyu jamaa
 
Ukiona una mpenzi ambae hauwezi kumuambia uko broke like an egyptian slave, ujue huyo sio mpenzio. Infact hata rafiki ambae siwezi nikamuambia im broke simuiti rafiki. Anakuwa mtu tu! Maisha ya kuigiza magumu sana!
 
Khaa!!!...Kwa hiyo unaogopa kunywa maji mbele ya mpenzi wako au mimi cjaelewa nini hapo????
 
Hata wine ina sumu bwanaaa. Kunywa juice ya rozella.

Ila mmh umenikumbusha enzi za kugawana na Paw wangu soda. Kuchacha kubaya aisee. Growing up is a bit fun...
majanga ya kudate vitoto vya secondary.....hata mia tano ya soda tu ni maafa ukisema unataka wine si anakufa kabisa...nani anakunywa soda zenye sumu siku hizi?
 
demu wa nini hata hela ya thoda huna!! khaaa.
 
1. Kama siishi naye hawezi kuja crib bila simu au taarifa yeyote.
2. Kama sina kitu, halafu amekuja crib, tutaangalia Tv, na remote nashika mimi. Bao kadhaa, see you l8er!
 
majanga ya kudate vitoto vya secondary.....hata mia tano ya soda tu ni maafa ukisema unataka wine si anakufa kabisa...nani anakunywa soda zenye sumu siku hizi?

Ulifanikiwa kupata Bwana?
 
Mmmh...! Hayo mapenzi ya kutoambiana ukweli kama umechalala ndio nini?

Aaah... Mie kama mupenzi hana kitu anakuwa muwazi tuu, nami namuelewa na narekebisha mambo, life inasonga..!!

Masista duu wengi wa kibongo ukiwaambia ukweli umewakosa
 
Back
Top Bottom