Swali kwa wanaume 'wajanja'

Swali kwa wanaume 'wajanja'

mimi siuzi, nanunua. endelea na ukahaba wako na usinifatefate tena wewe bibi kizee uliyekosa mume.
unadhani naweza kukupa info zangu hapa wewe mbwa?...nimeolewa sijaolewa yanakuhusu nini kama sio ushamba unakumbua? utahangaika sana ila hutokaa unijue
 
unadhani naweza kukupa info zangu hapa wewe mbwa?...nimeolewa sijaolewa yanakuhusu nini kama sio ushamba unakumbua? utahangaika sana ila hutokaa unijue

mbwa anajibizana na mbwa mwenzake. wewe pia ni mbwa. mwanamke aliyeolewa anajulikana siyo wewe nungayembe unahangaikia ndoa mtandaoni kila kukicha bila mafanikio.
 
mimi nadhani ungebadilisha heading iwe swali kwa wanaume wajinga ili liendane na story maana mwanaume mjanja hawezi kuwa na tabia ya kuficha uhalisia wake
 
majanga ya kudate vitoto vya secondary.....hata mia tano ya soda tu ni maafa ukisema unataka wine si anakufa kabisa...nani anakunywa soda zenye sumu siku hizi?

Ukiagiza wine,
unapotelea jela,
kwa kosa la kuua bila kukusudia.
 
Mpenzi wako anakutembelea Home kwa kustukiza.
mfukoni Una Mia sita Tu, unaamua kumchukulia cocacola moja ili asione kamahuna kitu.
Halafu wewe unaamua kuchukua chupa ya Sprite unajaza maji, yeye unampa ile Coca we
unakunywa zako maji kwenye ile chupa ya sprite (mpenzi wako anadhani unakunywa soda)
Wakati mkiendelea kunywa,mpenzi wako anakwambia mbadilishane vinywaji.....
Ukiwa kama mjanja, HUU MSALA UNAUSOVU VIPI?

unabadidi zoezi unamkumbatia kwa mahaba mazito hatimae mnaishia shughulin habari ya soda anasahau hadi shughuli ikiisha yupo hoi mkiwa mmepumzika unazuga ladha ya soda yako ulikuwa huielewi unaenda kuimwaga alafu unaonja yake kidogo na kwenda kumnywesha kwa mahaaaba kwirha habari yake kuku wako huyo manati ya nn? Onyo( hapo usihucshe usharobaro utaumbuka)
 
Hili ni swali kwa wanaume wajinga na wasiojiamini kama wewe wajanja huwa hatudanganyi
 
unadhani naweza kukupa info zangu hapa wewe mbwa?...nimeolewa sijaolewa yanakuhusu nini kama sio ushamba unakumbua? utahangaika sana ila hutokaa unijue
????matumizi mabaya ya JF busara itawale wapendwa....akushindae kuongea mshinde kunyamaza
 
kwanza wajanja demu akija gheto nikuchinjwa sio kunywa soda.
 
Back
Top Bottom