Sasa utajiona mzuri kwa mitongozo ya Jf?Hakuna mwanamke asiyependa kutongozwa na hakuna mwanaume asiyependa kutongoza.
Mwanamke anajiona mkamilifu yaani mzuri pale anapotongozwa, na mwanaume anajiona rijali kutongoza.
Mwanamke akisema anachukia kutongozwa, basi ujue ama hatongozwi maana hana mvuto au anatangaza kwamba anatongozwa ili watu wajue kuwa anatongozwa na kwa maana hiyo yeye ni mzuri.
Wanawake ni ngumu kuelewana na mwanaume maana kwanza mliumbwa wakati wanaume tukiwa usingizini
Hahahaaa. Haya bana.Kutest muhimu, maana kuna kitu wazungu wanaita "Bargaining and negotiating skills" unatakiwa kuwa updated all the time.
Nilivyoona mmeanza na mbereko za penati nilijua mmeshashinda mechi.
Hahahaaa. Haya bana.
Mmmh. Eti mbeleko. Duuuh. Huwa hamkosi sababu.
Agiza pepsi kwa mangi nakuja kulipa.
Twende kwenye mada.
Nàuliza kwann mnapenda kutongoza kila mwanamke hata kama hammjui?
Mtu ukisimulia unayopitia basi ujiandae Na mipm kibao.
Hata kama ni umalaya wengine mmezidi. Loh!
Mbona wewe umesema?
Mitongozo ya Jf kero tu maana unaona kabisa mtu anatongoza kujifurahishaNdiyo. Kwani we huipendi?
[emoji23][emoji23][emoji23]Usicheze na mabazaz humu
Wapo kimyaa wanatega nyavu tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mitongozo ya Jf kero tu maana unaona kabisa mtu anatongoza kujifurahisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Waulize watongozajiLakini mnapenda kutongozwa. Kwani wanatongozaje humu jf maana mm sijawahi kutongoza
Maajabu!