Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,882
- 61,593
Kutongoza/kutongozwa ni kawaida kwa mtu asiyekuwa na kasoro;na jibu la busara/kiutu uzima ni kujibu nina/sina mtu basi;akikusumbua chukua hatua zingine;haya ya kuja kulalamika huku inawezekana ikawa ni utoto.