Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Maajabu!
Hahaha hahaha
Hahaha hahaha
Nipo mimi my one n onlyUpo?
Twende kwenye mada.
Nàuliza kwann mnapenda kutongoza kila mwanamke hata kama hammjui?
Mtu ukisimulia unayopitia basi ujiandae Na mipm kibao.
Hata kama ni umalaya wengine mmezidi. Loh!
Nakuhamu tu!!Nipo mimi my one n only
Leo kuna dada nimemuona ana chura kubwa kidogo nimwambie akutafute aiseeWeka list ya pm ulizozama 2018!
Tamu sana hiyo rafiki!Leo kuna dada nimemuona ana chura kubwa kidogo nimwambie akutafute aisee
Sent using Jamii Forums mobile app

Rafiki usiku mwemaaRafiki mxxxxxuu yako nimeipenda,imekaa kidar dar zaidi!
Twende kwenye mada.
Nàuliza kwann mnapenda kutongoza kila mwanamke hata kama hammjui?
Mtu ukisimulia unayopitia basi ujiandae Na mipm kibao.
Hata kama ni umalaya wengine mmezidi. Loh!