Swali kwa wanaume wa jf

Swali kwa wanaume wa jf

Hakuna mwanamke asiyependa kutongozwa na hakuna mwanaume asiyependa kutongoza.

Mwanamke anajiona mkamilifu yaani mzuri pale anapotongozwa, na mwanaume anajiona rijali kutongoza.

Mwanamke akisema anachukia kutongozwa, basi ujue ama hatongozwi maana hana mvuto au anatangaza kwamba anatongozwa ili watu wajue kuwa anatongozwa na kwa maana hiyo yeye ni mzuri.

Wanawake ni ngumu kuelewana na mwanaume maana kwanza mliumbwa wakati wanaume tukiwa usingizini
Sasa utajiona mzuri kwa mitongozo ya Jf?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twende kwenye mada.

Nàuliza kwann mnapenda kutongoza kila mwanamke hata kama hammjui?

Mtu ukisimulia unayopitia basi ujiandae Na mipm kibao.

Hata kama ni umalaya wengine mmezidi. Loh!

Kwahyo unauliza au unasema !
 
Back
Top Bottom