Swali kwa wanaume wa jf

Swali kwa wanaume wa jf

Haya bwana
Kutongoza ni process. Kusimamishwa njiani ni moja ya step za mtongozo.

Najua mnyegesho pia huja kulingana na steps na mtongozo. Yaani ukimuona kwa Mara ya pili kitumbua kinalowa na hapo tayari
 
Kuna wengine ana kutongoza unajiuliza huyu yuko mirembe hospital ya machizi au kuna mmoja nilimuuliza pm mdogo wangu una miaka mingapi?Hasira zake akanianzishia uzi jukwaani 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna wengine ana kutongoza unajiuliza huyu yuko mirembe hospital ya machizi au kuna mmoja nilimuuliza pm mdogo wangu una miaka mingapi?Hasira zake akanianzishia uzi jukwaani 🤣🤣🤣🤣🤣

Ngoja niwe maarufu humu au nizoee zoee na mimi nianze kutongoza humu.
 
Wanaume wameumbwa kujaribu, sasa ni wewe na akili zako kutumbukia kwenye majaribu hayo, kutongozwa sio dhambi shida ni wewe baada ya mtongozo na maamuzi yako tu
Agiza pepsi kwa mangi nakuja kulipa.
 
Twende kwenye mada.

Nàuliza kwann mnapenda kutongoza kila mwanamke hata kama hammjui?

Mtu ukisimulia unayopitia basi ujiandae Na mipm kibao.

Hata kama ni umalaya wengine mmezidi. Loh!
If you judge people, you have no time to love them, ___Mother Teressa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twende kwenye mada.

Nàuliza kwann mnapenda kutongoza kila mwanamke hata kama hammjui?

Mtu ukisimulia unayopitia basi ujiandae Na mipm kibao.

Hata kama ni umalaya wengine mmezidi. Loh!
Hata huko mtaani nafikiri wanawake wanatongozwa kila siku !
Nafikiri hata mwanamke asipotongozwa atajiuliza mara kadhaa kwanini hatongozwi.
Sioni ajabu katika hilo ni wewe na kichwa chako kuamua cha kufanya.
 
Ya hayo mambo yako ya kutest Mtani. 😀😀😀

Ahsante. Sijakuona kule dhahiri nikajua unateseka. 😜

Kutest muhimu, maana kuna kitu wazungu wanaita "Bargaining and negotiating skills" unatakiwa kuwa updated all the time.

Nilivyoona mmeanza na mbereko za penati nilijua mmeshashinda mechi.
 
Back
Top Bottom