Swali kwa wanaume wa jf

Twende kwenye mada.

Nàuliza kwann mnapenda kutongoza kila mwanamke hata kama hammjui?

Mtu ukisimulia unayopitia basi ujiandae Na mipm kibao.

Hata kama ni umalaya wengine mmezidi. Loh!

Dada leah2,

Naomba nikusalimu na nikupe jibu ni moja tuu la swali lako,................................ni kwasababu UPENDO tulionao sisi WANAUME kwenu ninyi WANAWAKE ndiyo maana tunawatongoza..................................,

Kwa taarifa yako ni kwamba..................unapotongozwa siyo lazima mara zote UKUBALI,......................ila angalizo pia si vyema mara zote UKATAE,................................kutongozwa na kutongozana ni sehemu ya maisha,......................sote tuna uhitaji na uwepo wetu kwa namna moja au nyingine..............................

Elewa tuu kwamba, kutongozwa si UGOMVI,............................................kiasi kwamba,UNICHUKIE,.....................................kutongozwa siyo DHARAU,............................................ni HESHIMA kubwa sana,...................................................

Tambua kuwa kutongozwa ni SIRI,.....................................kati ya mtongozaji na mtongozwaji.....................................hivyo USISEME kwa kila mtu kkama umetongozwa,...................................kutongozwa ni BAHATI,siyo kila mwanamke anatongozwa, Kutongozwa na ishara kuwa wewe ni mzuri na unavutia,............................................hivyo furahia mara zote.

Nakusihi weka siri hiyo ya kutongozwa moyoni mwako.................................................Elewa kwamba kutongoza na kutongozwa ni RAHA,.....................................kama huamini nitongoze uone nitakavyofurahi,.............................................................

Mwisho, nikukumbushe kuwa ni kwa kutongozwa kwa wazazi wako kulikopelekea kupatikana kwako,................................ninakusihi san, tena kwa UNYENYEKEVU na HESHIMA kubwa kuwa KUTONGOZA na KUTONGOZWA kusikufanye utuchukie sisi WANAUME,.......................................

Uwe na siku njema yenye mitongozo mingi,

Ni mimi MTONGOZAJI,
MWENZETU
 
Nyie madem mnawajuaje? Au unaotea tu kisha unaanza saundi. Naomba JF watuwekee vialama flan ili mtu ajue hivyo tuanze kazi sasa rasmi..tuopoe mizigo humu
 
Twende kwenye mada.

Nàuliza kwann mnapenda kutongoza kila mwanamke hata kama hammjui?

Mtu ukisimulia unayopitia basi ujiandae Na mipm kibao.

Hata kama ni umalaya wengine mmezidi. Loh!
Wakati mwingine huwa tunafanya mazoezi tu, wengine tumeoa, timu nzuri ya ushindi, siri ni mazoezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kusoma Sayansi topic inayosema kutegemeana katika mazingira. Naamini hapa inaweza tumika kwamba ashumu umekaa mwaka mzima bila hata mwanaume kukuita jina ungejisikiaje na kwa upande wa wanaume wapo wenye nia na wajingawajinga pia. Ila wote ni lazima wawepo ili uchague vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom