Kutongoza ni process. Kusimamishwa njiani ni moja ya step za mtongozo.
Najua mnyegesho pia huja kulingana na steps na mtongozo. Yaani ukimuona kwa Mara ya pili kitumbua kinalowa na hapo tayari
Haya bwana
Wewe sitaki kukuambia jambo moja chafu tuishie hapa nikakuharibiaMkitongozwa mnalalamika, msipotongozwa mnaenda kwa karumanzila kutuwangia ili tuwatongoze;tuwaeleweje?
OkWewe sitaki kukuambia jambo moja chafu tuishie hapa nikakuharibia
Kuna wengine ana kutongoza unajiuliza huyu yuko mirembe hospital ya machizi au kuna mmoja nilimuuliza pm mdogo wangu una miaka mingapi?Hasira zake akanianzishia uzi jukwaani π€£π€£π€£π€£π€£
Ohooo
Naona mambo yashakuwa mengi
Agiza pepsi kwa mangi nakuja kulipa.Wanaume wameumbwa kujaribu, sasa ni wewe na akili zako kutumbukia kwenye majaribu hayo, kutongozwa sio dhambi shida ni wewe baada ya mtongozo na maamuzi yako tu
If you judge people, you have no time to love them, ___Mother TeressaTwende kwenye mada.
NΓ uliza kwann mnapenda kutongoza kila mwanamke hata kama hammjui?
Mtu ukisimulia unayopitia basi ujiandae Na mipm kibao.
Hata kama ni umalaya wengine mmezidi. Loh!
Upo?Ohooo
Naona mambo yashakuwa mengi
πππ Ahsante Mtani.Hahaha, wakati mwingine ni kutest skills za utongozaji kama bado ziko fit.
πππ Ahsante Mtani.
Usicheze na mabazaz humu
Wapo kimyaa wanatega nyavu tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ya hayo mambo yako ya kutest Mtani. πππMtani asante ya nini?
Kwanza hongera kwa ushindi wa jana.
Hata huko mtaani nafikiri wanawake wanatongozwa kila siku !Twende kwenye mada.
NΓ uliza kwann mnapenda kutongoza kila mwanamke hata kama hammjui?
Mtu ukisimulia unayopitia basi ujiandae Na mipm kibao.
Hata kama ni umalaya wengine mmezidi. Loh!
Ya hayo mambo yako ya kutest Mtani. πππ
Ahsante. Sijakuona kule dhahiri nikajua unateseka. π