Swali kwa wanaume na wanawake

Swali kwa wanaume na wanawake

haaaaa mwenzangu zigo tamu ila sometime anakoma haswaaa! haina cha uvivu hio ukizidiwa unasema cha kujichosha eti umridhishe mtu mwenye kipaji chake!!!??

Hicho sio kipaji, ni ugonjwa. Abnormality yoyote ni ugonjwa. Only uf it's true maana siku hizi story za gengeni zimekuwa na uvinza sana.
 
Umsaidie badi angalau siku mbili mbili kama kweli unamuonea huruma

amsaidie??!! Yeye mwenyew anataka kile cha dk1 kimeshatema sasa huyo mandingo si atakimbia na kyupi kabisa teh teh teh
 
Huyo kuna kitu anatumia. Rahisi sana kujua kama ni nguvu asilia au viagra. Mshauri huyo shosti yako au kama ni wewe, game la kustukiza.
 
Kijana anafanya kazi nzuri kama hatumii madawa yakumsaidia

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kweli mie nimeshakutana na wanawake wa3 wanalalamika wamechoka ndani ya nusu saa tu huku mie nikiwa bado sijafika ata bao 1

hongera waego ni wanaume wachache sana wenye uwezo kama wako ...most of them wana pii kabla ya wanawake!
 
Nimegundua JF wakipewa nafasi ya ubunge wanaweza 80%ya mada za humu watu wanawakilisha mara rafiki mara nani jamani kama limekukuta jambo weka wazi au tunachukua kozi ya ubunge?

khakhakhaaaaaa zamani labda ndio ilikua..oh mimi skuizi ni nafsi ya tatu umoja kwa kwenda mbele..
 
Back
Top Bottom