Swali kwa wanaume na wanawake

Swali kwa wanaume na wanawake

Haaaahaaaaa! Mwambie ashukuru Mungu huyo shoga yako, wenzie wanalilia hiyo kitu, maana wanalala na wanaume kama kaka zao! Kila mzee akijaribu wapi majogoo hayawiki! Huyo mzee wake yuko fiti! Ndio ndoa hiyooo.
 
Wanawake watu waajabu sana... Ukipiga goli moja malalamiko, ukikaza malalamiko, ukiwa na kibamia malalamiko, ukiwana mguu wea mtoto hamuachi kulalamika.... Yaana hata hamueleweki ni kipi mnataka.

Lakn hapo mkuu mahondaw mm naona umeamua kujificha kwenye kivuli cha rafk yako lakn ww naona ndio mhusika...

Hapo mkuu fungua moyo tu haina haja ya kulalamika ukianza kulalama sana jamaa lazma atakutafutia msaada.. Kama wewe unachoka wenzio wanahitaji hata lisaa lizma..
 
Last edited by a moderator:

uuhu hu huuiuuuu!! uuuuuuuhhh mgiriki sorry wewe ni mandingo au kibamia hahahahahaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
nyoronyoro kwa akina Asprin lakn ukikutana na akina Shy land ndio kama huyo rafk yako utaishia kuomba poo

Thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! mimi tungepambana aseee sikubali kushindwa kirahisi rahisi tu..
 
Last edited by a moderator:
uuhu hu huuiuuuu!! uuuuuuuhhh mgiriki sorry wewe ni mandingo au kibamia hahahahahaaaaaaa!

ayaaaa!! Mkuu unataka nimwage kuku kwenye mchele?... Ww njoo utajionea mwenyew, kwann uambiwe wakat unaweza kujionea?
 
Last edited by a moderator:
Sasa besdti wako yupo humu?

Dawa ni kuomba aongezwe mwanake mwingine
kuwe na shift....ikiwa sio shift yake anapumzika
 
Thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! mimi tungepambana aseee sikubali kushindwa kirahisi rahisi tu..

Uzoefu wangu unaniambia....
Wadada strong kwenye mazungumzo na wenye uwezo mkubwa wa kujisimamia, huwa laini sana kwa wanaume zao, na niwavumilivu sana ndani ya ndoa ikiwemo na makatiko.
Wadada wagumu, wanao ogopwa na kuheshimika kwake jamii inayo wazungunka, ni wavumilivu na wanyenyekevu sana kwa ndoa au mahusiano yao.
Huthamini sana wenzi wao naaaa........
 
Tatizo wanawake siku hizi wavivu sana!

haaaaa mwenzangu zigo tamu ila sometime anakoma haswaaa! haina cha uvivu hio ukizidiwa unasema cha kujichosha eti umridhishe mtu mwenye kipaji chake!!!??
 
Duuh.. Ina maana hapo kama mmoja ana nyenyere lazima amdondoshee mwenzie..!
 
Back
Top Bottom