Swali kwa wanaume na wanawake

Swali kwa wanaume na wanawake

Haaaahaaaaa! Mwambie ashukuru Mungu huyo shoga yako, wenzie wanalilia hiyo kitu, maana wanalala na wanaume kama kaka zao! Kila mzee akijaribu wapi majogoo hayawiki! Huyo mzee wake yuko fiti! Ndio ndoa hiyooo.

mhmh basi kazi anayo shogangu mbona atakoma jamani lol..kwahiyo nimwambie asiichezeee bahati ama??
 
we mwanaume wee mbona una balaa hivoo??? umejuaje kama Asprin hajui mambo?? shauri yako mi simo

kwanza nambie hivi umeolewa au bado upo single maana tusije tukawa tunajitafuna bure kumbe vyakutafunwa vipo
 
Last edited by a moderator:
"Jamani jamani jamani mwenzenu uwiiiiii!!!! balaa tupu huku..
Naomba kujua ni nini husababisha au kuna tatizo gani labda..
Ni hivi mlamu wenu ana hali flani ambayo inanitisha kwakweli. Yani dudu yake nahisi muda wote inakua imesimama dede maana nikimsogelea au akiniona tu hata kama tumetoka kufanyana muda huo huo mlingoti huuoooo!
Pia pindi tunapokua tunafanyana anaweza pizi lakini asiichomoe mashine pangoni kama dakika kadhaa hivi ...haaaaa haipiti mda mrefu nashangaa gemu linaanzishwa tena na tena na tena mpaka mimi niseme basi nimechoooka labda na akiichomoa hapo dudu linakua limesimama as usual but analazimika kuliweka lipumzike hivo hivo au mpaka akae muda flani hivi kulituliza.
Pamoja na hayo yoooote huwa anaenda mda mrefu sana yani mpaka naishiwa pozi na kuomba poo.
Je nini husababisha hali hiyo????????? Maana inatishia usalama kabisaaaaaaaa!!!!!!"

Hayo ni maneno ambayo shogangu mmoja alikua akilalamika na kuomba ushauri na kuswalika maswali pindi tunazogoa but mimi sikuwa na majibu exactly ndomana Mahondaw nkaleta kwenu. Ila kama ni dawa mtatuua aseeeee!

Nawasilisha kwa niaba.
Kweli wewe una matatizo, kumbe umekuja kunisemea huku. Jiandae kwa makofi
 
hahahaaa!!!.... Ningependa nione hayo mapambano yako kama nikweli teh teh!

tumepewa midomo yanini sasa???? ndo ningeongea na kusema bana hii ngoma tamu ilab nzito na ngumu haswaaaa naomba tuicheze kwa dizaini nyingine hio mi siiwezi au inanichosha/ nakuniumiza sana haa mapenzi maelewano buana...
 
ayaaaa!! Mkuu unataka nimwage kuku kwenye mchele?... Ww njoo utajionea mwenyew, kwann uambiwe wakat unaweza kujionea?

come on mgiriki hujajibu swali ujue ...! ni mandingo express au kibamia dotcom
 
Last edited by a moderator:
Hii inaonyesha jinsi gani wanawake hawajielewi na hawaeleweki.....na hawajui wanataka nini kwa mwanaume....nyie si ndio mnasababisha watu wanatenga bajeti kwenye mishahara yao kwa ajili ya kununua viagara ili kuimarisha msumari...??..nyie si ndio mnaosababisha watu waingie maporini kwa ajili ya kutafiti dawa kwa ajili ya kuimarisha dushe liwe imara ili mridhike ??....au sio nyie mliokuwa mkilalama humu kuwa siku hizi hakuna wanaume bali wapo wanaume suruali..?? sasa iweje leo mje mlalamike kuwa msuguano ni mkali???......yaani kwa kifupi hamueleweki na hamna shukrani..........
 
Sasa besdti wako yupo humu?

Dawa ni kuomba aongezwe mwanake mwingine
kuwe na shift....ikiwa sio shift yake anapumzika

mmmmhhhhhhmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhmmmmmmmmmhhhh nlimshauri hivo akasema eti kama ndo ivo bora avumilie utamu-uchungu- maumivu peke ake kuliko kushea maradhi mengi eti.
 
Uzoefu wangu unaniambia....
Wadada strong kwenye mazungumzo na wenye uwezo mkubwa wa kujisimamia, huwa laini sana kwa wanaume zao, na niwavumilivu sana ndani ya ndoa ikiwemo na makatiko.
Wadada wagumu, wanao ogopwa na kuheshimika kwake jamii inayo wazungunka, ni wavumilivu na wanyenyekevu sana kwa ndoa au mahusiano yao.
Huthamini sana wenzi wao naaaa........

nanini..!!?????? malizia basi nawewe boy wa ushi!
 
kwanza nambie hivi umeolewa au bado upo single maana tusije tukawa tunajitafuna bure kumbe vyakutafunwa vipo

kyela ndo nyumbani !! unajitafunaje mwanaume weye? ?
 
Kweli wewe una matatizo, kumbe umekuja kunisemea huku. Jiandae kwa makofi

makofi yapi hayo???? kofi olomide, kofi annan au kofi zetu zilee za kwenye mananilihiu??
 
Dudu imenogewa inataka tena.

 
Last edited by a moderator:
come on mgiriki hujajibu swali ujue ...! ni mandingo express au kibamia dotcom

ww binti unataka kila mtu ajue mm n kibamia au mandingo?
Hilo tutatafutana tu tena sio kwa kuambiwa ila kwa kuona 😀
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom