Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
pole jamani mungu ni mwema naimani atajaakhalia tu!
Asante.
pole jamani mungu ni mwema naimani atajaakhalia tu!
Mmmmh binamu mi unantisha bwana
photojournalism is difficult than news editing! picha ngumu kupata mkuu!
Shem shikamo! umepotea sana
nakutishia wapi tena binamu...?
ntakukimbia binamu
Pole sana"Jamani jamani jamani mwenzenu uwii! balaa tupu huku,naomba kujua ni nini husababisha au kuna tatizo gani labda.Ni hivi mlamu wenu ana hali flani ambayo inanitisha kwakweli. Yani dudu yake nahisi muda wote inakua imesimama dede maana nikimsogelea au akiniona tu hata kama tumetoka kufanyana muda huo huo mlingoti huo.
Pia pindi tunapokua tunafanyana anaweza pizi lakini asiichomoe mashine pangoni kama dakika kadhaa hivi,haaaaa haipiti mda mrefu nashangaa gemu linaanzishwa tena na tena na tena, mpaka mimi niseme basi nimechoka labda na akiichomoa hapo dudu linakua limesimama as usual but analazimika kuliweka lipumzike hivo hivo au mpaka akae muda flani hivi kulituliza.
Pamoja na hayo yote huwa anaenda mda mrefu sana yani mpaka naishiwa pozi na kuomba poo. Je nini husababisha hali hiyo, maana inatishia usalama kabisa."Hayo ni maneno ambayo shogangu mmoja alikua akilalamika na kuomba ushauri na kuuliza maswali pindi tunaongea.
But mimi sikuwa na majibu exactly, ndomana Mahondaw nikaleta kwenu. Ila kama ni dawa mtatuua aisee.
Nawasilisha kwa niaba.
HahahaHommie, sio kosa lao. Ni kosa langu niliporuhusu wakalelewe na wajomba zao.
Naammwanaume ni uume