Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,368
kyela ndo nyumbani !! unajitafunaje mwanaume weye? ?
ww jibu swali ukishajibu swali utajua namna navyojitafuna
kyela ndo nyumbani !! unajitafunaje mwanaume weye? ?
hahahaha hiyo dudu hatari
mwenzangu ungekua wewe ungefanyaje???? mi nliishia kumuonea huruma tu kwakweli
mwanaume ni uume
Wanawake siku hizi hamuwezi shughuli ndio tatizo lenu!
rudia tena????? siamini kama uko sawa!
Si ndio mnapenda dizaini hiyo wanawake!
Hakuna dawa hapo ni kuvumilia tu!
Ila akumbuke kuna wanawake wenzake wakisikia hivyo watamuonea wivu na kutaka kuhakikisha kwa Huyo jamaa!
Awe Makini!
mhmh hapo ndio unafanya nimwonee huruma zaidi mana atampoteza kabisa na kumsikia tu kwa majirani!
mhmh hapo ndio unafanya nimwonee huruma zaidi mana atampoteza kabisa na kumsikia tu kwa majirani!
hatuwezi kupata tupicha mkuu....