asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Wewe shughuli unaiweza?Watu wanalitafuta hilo zigo ujue bas tu hawalipati
Wewe shughuli unaiweza?Watu wanalitafuta hilo zigo ujue bas tu hawalipati
Wewe shughuli unaiweza?
Ya kulima kahawa au ipi
kwani jukwaa la kilimo hili!!!
Lakini tunaweza shauriana ujasiliamapenzi
aaaaaaaaaaaaaa usnambie shoga kumbe zigo ni dhahabu duh!!!!!! basi bidada hajashtuka
hahah ndo hapo sasa, unaiweza shughuri yake.....
inaonekana anamuovadozi shogangu mpaka inakomaaaaa!
Ebu amka hapo uone shughuli yake
eenh mpaka hapa nshachukua credit.. watoto wa kaskazini hawana shughuli yoyote!!!! kuchoshana tu
kimya sana jamani lol! vipi maisha lakini? ?