Kwanza nunua iPhone au Samsung. Hii unayotumia haionyeshi maelezo vizuri. Ukitaka nyuzi zako zisomeke jf tumia iPhone au Samsung. Hicho kitochi unachotumia kinakufanya usieleweke.Hivi kwa nini wanawake wengi walioolewa hawataki kabisa kujionyesha hivyo badala yake utakuta wanapost picha ZOTE ama wakiwa na marafiki zao, ama peke yao, ama na watoto kama vile ni ma single mother? Zaidi sana utakuta ambaye kaolewa na TAJIRI ama SUPER STAR ndio atajaza picha za mpenzi wake kwenye akaunti yake. Kuna siri gani hapo?
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Kwanza nunua iPhone au Samsung. Hii unayotumia haionyeshi maelezo vizuri. Ukitaka nyuzi zako zisomeke jf tumia iPhone au Samsung. Hicho kitochi unachotumia kinakufanya usieleweke.
Kweli wewe deceiver!!Kwanza nunua iPhone au Samsung. Hii unayotumia haionyeshi maelezo vizuri. Ukitaka nyuzi zako zisomeke jf tumia iPhone au Samsung. Hicho kitochi unachotumia kinakufanya usieleweke.
Very few mkuu, huo ndio ukweliNi private issues hizo. Mbona wapo wanaopost wapenzi wao? Ni hulka ya mtu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke ndio wa kufichwa bana. Kwani anayeolewa ni nani? Kweli dunia inakwenda kinyumenyume, ndio maana wanaume wanalilia kubaki ndani wanawake wanazurura kutwa kucha kutafutaMume ni bidhaa adimu sana kwa mwanamke aliye katika ndoa hivyo siyo wa kuonyeshwa ovyo kwa kila mtu kama bidhaa za sokoni.
Nimeuliza kuhusu walio kwenye ndoa, sasa private issue ndio kitu gani?Ni private issues hizo. Mbona wapo wanaopost wapenzi wao? Ni hulka ya mtu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nunua iPhone au Samsung. Hii unayotumia haionyeshi maelezo vizuri. Ukitaka nyuzi zako zisomeke jf tumia iPhone au Samsung. Hicho kitochi unachotumia kinakufanya usieleweke.
Ukiona mke anakuweka sana kwenye social media jua anajinadi kwa rafiki zako na lazima achepuke nao!Mke ndio wa kufichwa bana. Kwani anayeolewa ni nani? Kweli dunia inakwenda kinyumenyume, ndio maana wanaume wanalilia kubaki ndani wanawake wanazurura kutwa kucha kutafuta
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Wanaogopa kuibiwa waume na rafiki zao au ndugu wa rafiki zao. Vilevile Wanaume wengi hatupendi kupigwa picha na kupostiwa katika social media bila sababu ya msingiHivi kwanini wanawake wengi walioolewa hawataki kabisa kujionyesha hivyo badala yake utakuta wanapost picha ZOTE ama wakiwa na marafiki zao, ama peke yao, ama na watoto kama vile ni ma single mother?
Zaidi sana utakuta ambaye kaolewa na TAJIRI ama SUPER STAR ndio atajaza picha za mpenzi wake kwenye akaunti yake.
Kuna siri gani hapo?
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Haaaa haaaa haaaa we jamaa weweKwanza nunua iPhone au Samsung. Hii unayotumia haionyeshi maelezo vizuri. Ukitaka nyuzi zako zisomeke jf tumia iPhone au Samsung. Hicho kitochi unachotumia kinakufanya usieleweke.
Ni jambo la ajabu kujua rafiki wa mkeo?./mume?.Sio kweli, rafiki zangu atawajulia wapi
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk