swali kwa wadada...

Dotowangu

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
242
77
Hivi mkipewa pesa ka buku 10 au pesa yoyote na mwanaume wakati hujamfanyia kazi yoyote wakati hiyo noti imeandikwa FEDHA HALALI KWA MALIPO YA SHILINGI ELFU KUMI.. huwa kamuoni noma? Ningekuwa mbeijing nisingechukua!... Ni mtazamo tu..
 
mtoaji na mpokeaji wote mna matatizo nawashauri mkamwone daktari
 
Hiyo itakuwa ni rushwa ya malipo yasiyokuwa ya halali. Namnukuu Mwalimu Nyerere alisema "alietoa na aliepaokea wazanaki wanasema wote manzikanyanga. Yaani wote watapata misukosuko"
 
Hiyo "manzikanyanga" are sure ? Umeitendea haki ? Au umei'dump tu ? Nna mashaka nayo !
 
...si umejipendekeza mwenyewe...ila malipo halali yatafuata...hayo ni maneno tu hata kwenye keki yapo ila watu wanayatafuna!
 
Kwanza anae nipa ananipa kwa nini? Ni zawadi tu.
Kama ananipa ya vocha si nitatumia kwa kununua vocha?
Ni malipo halali kwa ununuzi wa vocha, ambayo ndio zawadi.
 
Kwanza anae nipa ananipa kwa nini? Ni zawadi tu.
Kama ananipa ya vocha si nitatumia kwa kununua vocha?
Ni malipo halali kwa ununuzi wa vocha, ambayo ndio zawadi.
Kwanini asikununulie hiyo vocha kama zawadi instead akakupa pesa??
 
Back
Top Bottom