nirudishie basi ile jero 'angu arifu?
.
100,000 chukua
sitaki..
Kumbe we staki natake eeh, si umesema zaid ya elf kum utachukua, au siyo veve
.Laki si pesa.
.kuna mtu aliiba password yangu.
.
Uliiacha wapi ndo ukaibiwa, pole eeh
.niliiandika kwenye karatasi. Ahsante nishamshtaki kwa mods
Laki si pesa.
Kama buku 10 nakurudishia, zaidi ya hapo napokea. Lol!