mi mchaga bwana,mchaga na mambo ya kiuno wapi na wapi? mi nasikiaga kama wewe tu,
nasubiri ukipata jibu unipe
wewe wasema mi ni zaidi ya muhaya,urefu wa kinyamwezi, mguu wa kihaya,weupe wa kichaga,shape la kitusinikijaribu kuangalia avatar yako, naona unafanana na yule aliyechorwa baada ya mhaya.
wewe wasema mi ni zaidi ya muhaya,urefu wa kinyamwezi, mguu wa kihaya,weupe wa kichaga,shape la kitusi
BORA UMWAMBIE Kaka jambazi bwana. mwambie anaweza kunihonga hadi pasword ya mkewe ya bank!Vipo vingne vzur zaidi ya ulvyotaja. Sivisemi.
Kumbe kwa wadada ngoja niondoke!
Ni PM basi bidada.wewe wasema mi ni zaidi ya muhaya,urefu wa kinyamwezi, mguu wa kihaya,weupe wa kichaga,shape la kitusi
Inaonyesha uko deep sana.mmmh! kuna uzi niliwah kuchangia kule jukwaa la chini kabisa kuhusu kazi ya shanga na matumizi yake. sasa kama unaoufunguo wa kule nenda kajionee mwenyewe uko katika zile nyuzi za sticky na AshaDii alizifanyia collection. pale utapata aana ya shanga kwan huvaliwa, zinavaliwa ngapi, matumizi yake kidigitari na kianalogia.
Careful na hayo mashanga mengine ni uchawi.
BORA UMWAMBIE Kaka jambazi bwana. mwambie anaweza kunihonga hadi pasword ya mkewe ya bank!
wkend twende wapi?