Swali kwa wadada tu!!

Swali kwa wadada tu!!

onzeza jombaa!!
zaidi ya shanga kupendezesha kiuno na kukifanya kionekane cha mwanamke haswaaaaa! eeeh bwana lazima mnapokuwa kitandani tofauti ionekane! then kinaongeza mashamsham flani hiv nadhani wakuu mnaelewa na zinatakiwa zichezewe zile sio kuziangalia tu jamani!!
halafu sasa huko zamani bibi zetu walitumia kama sign flani akiwa kwenye mp anazivua anaweka kwenye tendegu la kitanda( si mnajua vitanda vya teremka tukaze) basi babu akiingia room akiziona pale anajua leo NIL hakuna ishu! lakini siku hizi na mambo yetu ya analog hii haiapply tena watu wanaingia hivyohivyo tu.
vipi inakutosha au nikuongeze doz??

kwenye Red nagonga LILIKE kubwa
Kwenye Green:: Huo ni uchafu mmmghhhhhhhh
 
gfsonwin anajiita mwalimu lakini hajawahi kusema wa somo/shule gani? isijekuwa ni ticha wa kama sutra, lol
hahahahah!...............mwanangu nafundisha biology, chemistry na physics but kwa miaka 4 nimekuwa nafundisha physics na chemistry tu.
 
unajua sana biology hasa somo la anatomy. eleza siri ya huo ujuzi.
mwanangu labda nikwambie nilisoma nini as first degree nilisoma bsc ed..............nika major chem na biology na physics niliopt some optional courses physics.

kwenye biology nilisoma anatomy and physiology, genetics, evolution, ecology, botany kozi zote plus so many other courses kwenye biology.
 
mie huwa naziombea kabisaaa na kuzitakasa kwa damu ya Yesu na pia nazinenea nataka zinifanyie nini.

unatamka kabisa Bw Yesu navaa shanga hiiz ili nimpendezeshe mume wangu, na sio mtu mwingine yyte. nazikomboa kwa damu yako ya thamani na kuzitakasa na kuziweka wakfu kwaajili ya matumizi yangu na mume wangu tu basi. nakuomba kwa kuzivaa zisinijaribu na wala zisinifanye nikakutenda dhambi. kisha ndo navaa.

maisha ya siku hizi ukiacha kila kitu kijiendee chenyewe nakuambia utalia machozi siku moja
Nimebarikiwa na hili
 
mwanangu labda nikwambie
nilisoma nini as first degree nilisoma bsc ed..............nika major
chem na biology na physics niliopt some optional courses physics.

kwenye biology nilisoma anatomy and physiology, genetics, evolution,
ecology, botany kozi zote plus so many other courses kwenye
biology.

Nakukubali mamamkwe naona ambavyo umerithisha injinia wako big up mama...
 
Smile usiniangushe my dear,
mchagga wa wapi asojua maana ya hiyo kitu.

Ndo maana mnakosaga wanaume hivi hivi.

mi mchaga bwana,mchaga na mambo ya kiuno wapi na wapi? mi nasikiaga kama wewe tu,
nasubiri ukipata jibu unipe
 
Last edited by a moderator:
kuona tu!na je kugusa si ndio inakuwa balaaaaaaa!
heheeee. jf bhana. hapa kuona tu mzee keshaanza kutema tema. wacha nimuwahi mama yeyo tukamilishe kabisa. teh teh
 
Back
Top Bottom