swali kwa wadada na wakaka

Problem unaweza kusikia dada anapiga kelele usiku umelala ukakosa usingizi unaweza kudhani jamaa anamkaba kumbe burudani zao

Asubuhi unaona dada anacheka cheka anapita na khanga hahaha

Thats sooo creepy
 
kama nyinyi ni wakaka...mnaishi na dada yenu mwenye ajira yake
wote ni above 25 au hata above 30
lakini mnaishi nyumba ya familia bila wazazi.....

Na nyinyi vidume mnaleta 'mizigo' na kubadili 'warembo'
bila kuulizwa na mtu.....

Je siku dada yenu akileta 'mtu' mpaka asubuhi....mtafanyaje??????

Na ikitokea 'mlivumilia' siku hiyo

akaja kuleta 'kidume' kingine mtafanyaje???

Kumbuka dada yenu ni mkubwa na anajitegemea lakini...
Nyumba ni yenu wote.....

kwa kawaida mwanamke kwenda nyumbani kwao mwanaume na kulala inakua rahisi ila mwanaume kwenda nyumbani kwao mwanamke na kulala sio rahisi kwa mwanaume mwerevu kufanya hivyo labda kama mwanamke anaishi mwenyewe kwake hapo unaweza kummega na kulala kwake zaidi ya hapo sio rahisi.
Wanaume huwa wanahitaji sana sehemu wanapata uhuru wa kutosha
 
hili kwa mimi mdada kwanza sikubali kabisa kaka yangu aje na wanawake zake afu alale nao kwa home hata kama ni yetu sote...heshima lazima izingatiwe aisee kukubali ni sawa na kuhalalisha uzinzi na dada/kaka zako wanashuhudia not good at all...wakachukue tuu room huko sehemu zingine au kama wanakuja home wahakikishe mimi sipo na wala sioni na hata nisijue..my brothers knows me well sitakagi mauzungu ya hivo aiseee......wajiulize kama wazazi wangekuwepo tunaishi nao je wangefanya hayo???kama hapana basi na hata wasipokuwepo ethics za nyumban lazima ziheshimiwe..ni hayo tuuu
 
Mkuu Boss kwa pande zote sidhani kama ni njema
Yaani kwa dada kumleta jamaa yake alale nae home au kwa wewe kidume kuja na wanawake zako na kulala nao hapo wakati dada yako anajua kinachoendelea ndani ya chumba chako sioni kama ni njema
Uhuru uwepo at least heshima kati yenu itunzwe kila mmoja ampe mwenzake heshima anayostahili
 
Back
Top Bottom