Wadada wa saluni za kiume hawana kinyaa kabisa

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
19,331
14,259
Wakuu habari za jioni?

Mimi napenda sana kunyoa kwenye Saluni ambazo zinahudumiwa na wakaka Pamoja na wadada. Huwa najisikia Vizuri sana ninapomaliza kunyoa halafu naambiwa nenda chumbani ukaoshwe ambako unaenda na kumkuta mdada Mzuri atakayekuosha, kufanyia scrub, rolls, nk.Lkn mimi huwa naishia tu Kwenye scrub na rolls.

Kilichofanya nije hapa na kisha kuandika huu uzi ni jinsi hawa wadada wasivyo na kinyaa katika kutuhudumia sisi Wakulungwa, Unakuta anakubinya vipele vya kwenye kidevu ambavyo vitatoa usaha, anakuja tena anaibinya pua vinatoka viuchafu fulani hivi wao wanasema ni vimafuta, sasa Unakuta Wakati Mwingine umebanwa na mafua na makamasi yanajitokea tu hovyo, lakini unakuta hawa wadada wala hawajali.

Kama leo hii mdada wa watu ameniminya viupele vya kidevuni na shingoni vikawa vinatoa usaha.

Kamdada kakasema kaka vipele vinatoa usaha!!, Kidume nikajibu ahaaa!!, sawa!, Kamdada kakachukua tissue kakanifuta taratibu na vidole vyake vilaini bila kinyaa.

Hakika nawashukuru sana dada zetu Wapendwa wa Saluni za kiume kwa Huduma yenu,pasipo kinyaa.
 
Wakuu habari za jioni?,mimi Napenda sana kunyoa Kwenye Saluni ambazo zinahudumiwa na wakaka Pamoja na wadada.Huwa najisikia Vizuri sana ninapomaliza ....
Wanafanya hivyo na hawajavaa groves. ni hatari sio kwao tu ila na kwako pia, ukijua wao wameshajisusa, hawajali na wako tayari kwa lolote.

Wameuza papa wee na wameshaharibikiwa, na wapo pale kwa ajili ya kukubembeleza na kukucare ili uchukue namba yao siku wapo off au usiku uwachukue. Mungu awasaidie.

Hakuan mpiga scrub asiye malaya, hajawahi kutokea.
 
Back
Top Bottom