swali kwa wadada na wakaka...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

swali kwa wadada na wakaka......

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Boss, Nov 21, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Kama nyinyi ni wakaka...mnaishi na dada yenu mwenye ajira yake
  wote ni above 25 au hata above 30
  lakini mnaishi nyumba ya familia bila wazazi.....

  na nyinyi vidume mnaleta 'mizigo' na kubadili 'warembo'
  bila kuulizwa na mtu.....

  je siku dada yenu akileta 'mtu' mpaka asubuhi....mtafanyaje??????

  na ikitokea 'mlivumilia' siku hiyo

  akaja kuleta 'kidume' kingine mtafanyaje???

  kumbuka dada yenu ni mkubwa na anajitegemea lakini...
  nyumba ni yenu wote.....
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  aisee hii nishawahi kuiona ila mbilinge halikuwepo wala nini kila mtu na maisha yake,huwa kwenye kitengo cha mapenzi hawaingiliani,ila SHARTI ni lazima uje na kitu Bomba sio uje na kitu cha ovyo.ɟɟo ƃoןɐu
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  nani aje na kitu bomba?
  dada?????
   
 4. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Dada ndio anatakiwa aje na kitu bomba,sio aje na mgema ulimbo wanamtimua akijifanya ngangari wanamwitia mwizi.ɟɟo ƃoןɐu
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  lol...........
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,670
  Trophy Points: 280
  Mh!Kwa mazoea patakua hapatoshi lazima dada achezee kichapo.Lakini kwa kutumia akili mnakaa kimya na kutulia kimya kwani ni ngoma droo!Mbwa kamla Mbwa!
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mbona imeshatokea sana kwa kina Jane pale nanihii na wakaka wakafyata... Karibu na maj6
   
 8. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 661
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 80
  The Boss
  Mlivumilia? How is it that sistee living her life how she sees fit, means kaka anavumilia????? Anyways I think depending on how close the people involved are kama kaka mtu ana mind, then he can and should mention.

  Side note
  Ila duh, I have two young bro's who, when I imagine being questioned by them re:" my love and/or s*x patners choices sipati picha kabisaaaaaaaaa........labda wangekuwa wakubwa wangu
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280

  kwa nini ale kichapo?
  sio kwamba over 18 ni mtu mzima
  na ana uhuru wa kujiamulia????au ndo mfumo dume?
   
 10. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #10
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  The Boss kama ni mimi, wala hilo lisingenisumbua kabisa, kwani naamini kwamba dada yangu ni binadamu aliyekamilika na ana uhuru wa kuutumia mwili wake atakavyo, kama vile mimi ninavyoutumia mwili wangu nitakavyo.
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280

  vyovyote vile lengo langu hapa ni kuuliza
  nimeona wapo wakaka hawana tabu kabisa....na hilo..
  na nimeona wapo wakaka licha ya wao kutokuwa na ajira maalum
  wanamtegemea dada yao,lakini dada yo haruhusiwi 'kuleta' kidume home...
  hii kitu ipo saana..
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  wapo watu weengi kama wewe
  na wapo weengi pia ambao
  dada akileta kidume 'hapatoshi' lol
   
 13. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #13
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,930
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280
  sidhani kama wakaka watavumilia kuona sisy wao analeta kama wao wanavyoleta! nimeona mara nyingi akina kaka huwa wana wivu na dada zao, dada anaweza asiwe na tatizo dhidi ya kaka zake labda ushauri mdogo mdogo pale kaka anapozidisha kubadili wanawake
   
 14. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #14
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kwanza kabisa mie ni great bliver kuwa no family member should bring shame to the family name.....sasa kaa huyu dada anaanza kuleta vidue humo ndani itapidi apewe kalipio kuwa hii tabi sio nzuri. sikatai wewe kuwa na bf but sio waja nae hapa home....utaleta wangapi?
  nenda guest house au kwa huyo jamaa poa tuu but not hapa home
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  wewe unaonaje?ni sawa au sio sawa kwa mdada kuwa huru
  kubadili vidume home?
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  na wakaka je?nao waende guest?
   
 17. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #17
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 661
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 80
  Eiyer
  Hivi miaka hii kuna kaka , especially wadogo wanaweza kuwapiga dada zao?Duh,,,,,,,,,,,,,,If there is basi lazima mimi nitakuwa naisha kwenye bubble!!??
   
 18. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #18
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,930
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280

  kwanza binafsi naona si sawa kubadili vidume si kwa home tu bali kimaadili si sawa! mtu anapaswa kutulia na mpenzi mmoja,kama imebidi basi kwa mdada kubadili ili atii kiu yake nadhani si vema kuonyesha kaka zake uchafu anaofanya maana ni kinyume na maadili,afanyie mbali tena ikibidi kwa siri basi dah!
   
 19. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #19
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ndio nao lazima waende guest...kwa sababu tunashare hii nyumba basi lazima wote tukubaliane kuwa everybody ambaye anakuwa na gf/bf basi no sleeping hapa nyumbani....hapo hakuna mazungomzo.
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  nimewahi kwenda 'out' na mdada ambae ameongozana na kaka yake mdogo but over 18
  twice....na ilikuwa first date lol...
  tulikaa wote bar tunapiga story na kunywa...halafu muda wa kuagana...kaka akatangulia ili
  tupate mda wa 'kuzungumza' lol..
   
Loading...