Swali kwa mababa wa kambo

Hongera kwa kupata mume,naona wasiwasi wako sasa hivi ni kuona kua Mumeo atakuita kwa jina la mwanae au kwa jina la mwanao.
Mimi jinsia me mdogo angu. Nimeuliza maana huku mtaani tunakutana na ugumu. Unakuta single mother tushazoea kumwita mama damiani sasa karudi kitaa akiwa na bwana mwingine na mtoto wamezaa tunapata kigugumizi tumwite mama nani
 
Mimi jinsia me mdogo angu. Nimeuliza maana huku mtaani tunakutana na ugumu. Unakuta single mother tushazoea kumwita mama damiani sasa karudi kitaa akiwa na bwana mwingine na mtoto wamezaa tunapata kigugumizi tumwite mama nani
Wewe pimbi mimi sio mdogo wako,ukiona huyo single maza anaitwa kwa jina lingine,nenda kamuulize mumewe atakupa majibu,

Halafu punguza kukaa sana na wanawake,mpaka kujua leo mama fulani kaja kitaani na mumewe na kabadili jina,huna kazi ya kufanya? Unapata wapi muda wa kufuatilia issue za single maza wa kitaani?

Wewe elewana na mumeo akuite Mama nani kwa unavyotaka wewe,usitusumbue hapa.
 
Naona baba wa kambo umechafukwa
 
nitamuita mama fulani, jina la mtoto wake wa kwanza.
Hapo nimekupata mzee baba. Unajua kuna dada mmoja alikuaga na mtoto. Alipotea kwa muda kidogo, sasa hivi karibuni karudi yeye na boyfriend wake mpya wamepanga maeneo ya mtaani.

Wengi hatukua tunamjua huyu shemeji mpya. Juzi tulijumuika nao kupata kinywaji tukawa tumwaita mama wa jina la mtoto wa kwanza. Kuja kugundua kumbe ana boyfriend mpya na wana mtoto dizaini nafsi zikaanza kutusuta kujiona kama tumemkosea heshima yule shemeji mpya.

Ndio maana nikauliza kwa uzoefu wa mababa wa kambo hilo suala limekaaje
 
Pyeeeeeee unazuga tu, eti tumejihisi kumkosea heshima shemeji mpya kwa hiyo umbea wenu huko ndio uje uulete hapa kwa great thinkers ona ulivyovuliwa nguo hapo kuchutama unataka kukimbia unataka hapo hapo unatamani uzi ungefutwa ila ndio baaasi tena.
 
Anakosa usingizi kwa mambo yasiyomuhusu! Unawezaje kujadili jambo ambalo hujawahi pitia kwa wivu mkubwa hivi😁 Mtu aliyeoa bikra na ukoo mzima hakuna single maza ana pesa achafu mpaka za kutulea na koo zetu kutwa kukicha ni singo maza mabikra mpaka anawaota! Hakuwahi tegemea ataokota bikra la mjini nini🤣
 
Ulikutana na mkeo akiwa tayari ana mtoto anaitwa John. Baada ya kuishi pamoja mkazaa mtoto mkamwita George.

Je, utamwita mkeo mama John au mama George?
Mimi na mke wangu tuna watoto saba, ili kuonesha watoto wetu wote ni sawa huwa mama yao namwita kwa jina la mtoto wa kwanza siku ya Jumatatu, mtoto wa pili siku ya jumanne, wa tatu hadi wa saba vivo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…