Swali kwa Lissu: Mkataba wa MIGA unasemaje kama kampuni inafanya kazi bila kusajiliwa?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
30,878
2,000
Hili ni swali kwa mwanasheria msomi na pengine anayekurupuka kuliko wote.

Je, anaweza kutuambia kuwa sheria za MIGA zinasemaje ikiwa mwekezaji anafanya shughuli zake nchini bila usajili halali?

Pili je MIGA inasema nini kuhusu muwekezaji kudanganya na kukwepa kodi?

Karibuni kwa mjadala
 
mgodi

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,733
2,000
Kuna kampuni nyengine ipo inachimba madini maarufu Duniani, nawasiwasi nayo imenunua hisa kinyemela.
 
Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
12,791
2,000
Hili ni swali kwa mwanasheria msomi na pengine anayekurupuka kuliko wote.

Je anaweza kutuambia kuwa sheria za MIGA zinasemaje ikiwa mwekezaji anafanya shughuli zake nchini bila usajili halali?

Pili je MIGA inasema nini kuhusu muwekezaji kudanganya na kukwepa kodi?

Karibuni kwa mjadala
Hiwezi kusema kitu kwakuwa hiyo inakuwa tatizo la walioileta kampuni hiyo na kuipa kazi maeneo ya uwekezaji.
 
bht

JF-Expert Member
May 14, 2009
10,336
1,250
na nyie mlichukuaje kodi kwa kampuni isiyosajiliwa? All these regulatory bodies hazikuona hitilafu mahala na wakaendela tu shughuli as if all is well?

na wabunge walipitishaje sheria za kipuuzi hivyo kuruhusu tuibiwe rasilimali zetu? msilete mbwembwe hapa trying to run from your own shadows.
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
30,878
2,000
Hiwezi kusema kitu kwakuwa hiyo inakuwa tatizo la walioileta kampuni hiyo na kuipa kazi maeneo ya uwekezaji.
Tuongelee generally Mkataba wa MIGA unasemaje?kwani hao ndio wanaoogopewa na wanasheria nguli....yaani wana uwezo wa kunyoa kwa kutumia chupa
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
23,673
2,000
Hili ni swali kwa mwanasheria msomi na pengine anayekurupuka kuliko wote.

Je anaweza kutuambia kuwa sheria za MIGA zinasemaje ikiwa mwekezaji anafanya shughuli zake nchini bila usajili halali?

Pili je MIGA inasema nini kuhusu muwekezaji kudanganya na kukwepa kodi?

Karibuni kwa mjadala
muulize kabudi, mtaalamu wa sheria mnayemuamini
 
Mindi

JF-Expert Member
Apr 5, 2008
2,885
2,000
Hili ni swali kwa mwanasheria msomi na pengine anayekurupuka kuliko wote.

Je anaweza kutuambia kuwa sheria za MIGA zinasemaje ikiwa mwekezaji anafanya shughuli zake nchini bila usajili halali?

Pili je MIGA inasema nini kuhusu muwekezaji kudanganya na kukwepa kodi?

Karibuni kwa mjadala
Hilo swali wala huhitaji kumuuliza Lissu, na wala MIGA haijishughulishi na kampuni ambazo hazijasajiliwa. wa kuwauliza ni "law enforcers" wa nchi husika. swali ni kwa SERIKALI YA CCM: Iweje kampuni ifanye kazi miaka yote hiyo na kupewa ulinzi muda wote huo wakati haijasajiliwa???? kama alivyosema Prof. Osoro, hilo linawezekana Tanzania tu. ukiona hivyo, ujue kuna watu wa CCM walikuwa wanashiba. sasa hapo Lissu anaingiaje? kula mle ninyi, maswali aulizwe Tundu Lissu, kisa amewaumbua katika ulaji wenu??
 
Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,091
2,000
Hili ni swali kwa mwanasheria msomi na pengine anayekurupuka kuliko wote.

Je anaweza kutuambia kuwa sheria za MIGA zinasemaje ikiwa mwekezaji anafanya shughuli zake nchini bila usajili halali?

Pili je MIGA inasema nini kuhusu muwekezaji kudanganya na kukwepa kodi?

Karibuni kwa mjadala
kwa akili yako Seriakari gani Duniani inaweza kufanya kazi na kampuni kwa zaidi ya miaka 20 bila kusajiriwa?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom