Swali kwa Lissu: Mkataba wa MIGA unasemaje kama kampuni inafanya kazi bila kusajiliwa?

Nawapa pole wapiga kura wake maana huko anapinga shughuli zote za maendeleo.
Jimbo limeingia kwenye umaskini wa kurupa kwa ubishi wake usio kuwa na maana.

shuhuli za maendeleo anazopinga Lissu ni pamoja na kuweka mikataba ya madini wazi na kuacha kusainia gizani??

Mbona mnajifanya wenyewe kwa jinsia moja FISIEM. kuna Mdau katusaidia kuweka hapo inamana amuoni USAJILI wao?? Jadilini hoja kuu hapo.
umesoma vizuri tareh ya hiyo barua ineandikwa mwaka huu mwezi wa tano,
kwa nn tusihisi imeandikwa baada ya kuona kwamba the God chosen n blessed president amewashika pabaya.
nina bahati ya kuzariwa na kuwa mtanzania

hivi ni jukumu la taasisi gani kufuatilia hilo la kusajiliwa kwa kampuni kufanya biashara nchini?
Ni jukumu la mwekezaji kutimiza masharti na sheria za uwekezaji....

Huwezi kufanya kazi bila usajili halafu usingizie uzembe wa chombo cha serikali...

Leo sasa BRELA ndio waneibuka na utaratibu lazima ufuatwe.

Ili ulipe kodi inabidi uwe na account (TIN) huko TRA, na hiyo ina jina la kampuni, sasa ilikuwaje TRA/BOT wapokee kodi kutoa ACACIA kwenye account ya Barrick Gold?

shuhuli za maendeleo anazopinga Lissu ni pamoja na kuweka mikataba ya madini wazi na kuacha kusainia gizani??
Hoja ya lissu ilikuwa ni kwamba tukae kimya mpaka tutakapojitoa MIGA...sasa namuuliza swali atudokeze kuhusu kampuni kuoperate illegally...wanaonyoa kwa chupa wanasemaje?

Ni wapi kumuonesha kwamba hiyo certificate ni ya Acacia? akili zenu sijui huwa mnazipeleka wapi, hiyo barua ni ya mwezi jana tu ikiwajibu Acacia barua yao ya ombi la kuchange jina, yaani Acacia wameomba kuchange jina mwezi jana baada ya kuona kisheria tutawabana endapo wakitaka kulipeleka swala hili mahakamani.
Kwani awali mlikuwa mnachukua kodi kutoka kwenye kampuni ambayo details zake haziko TRA? TRA hawasajili kuwa mlipa kodi kampuni ambayo haijaandikishwa BRELA!

ESCROW mlipiga pesa
RICHMOND mlipiga pesa
TANGOLD mlipiga pesa
BUZWAGI mlipiga pesa
EPA mlipiga pesa
MEREMETA mlipiga pesa
RADA mlipiga pesa
KAGODA mlipiga pesa
DEEP GREEN mlipiga pesa
KIWIRA mlipiga pesa

...., Leo mnatuletea habari za mchanga, sijui MAKINIKIA hapa.., wakati wapigaji ni ninyi wenyewe na hao makaburu wenzenu.., mnataka kutueleza nini.., habari za kujitekenya na kujichekesha wenyewe kaeni nazo wenyewe aisee.., msituchanganye!

LUGUMI wamepiga pesa.
TETEMEKO wamepiga pesa
LUCKY VICENT wamepiga pesa.
NIDA wamelamba pesa.
LUGUMI wamekamua pesa.
Eti wanataka watuchanganye kwa hivyo vikontena vya vumbi.?

Ili ulipe kodi inabidi uwe na account (TIN) huko TRA, na hiyo ina jina la kampuni, sasa ilikuwaje TRA/BOT wapokee kodi kutoa ACACIA kwenye account ya Barrick Gold?
kwa kuwa kuna baadhi ya watanzania mithili ya lissu na Kafumu ndio walikuwa wanshughulikia mambo hayo...hao watu ni wachumia tumbo

ACACIA huyu anayeitwa hewa... analipa kodi, analipa mrahaba, anamiliki migodi mitatu tanzania, anandege inaitwa DASH 8 huwa inazurula humu kila siku, wafanyakazi wake wanalipa PAYE +NSSF, ACACIA huyu hewa anasafirisha mizigo yake kila siku humu humu, ACACIA huyu huyu anaofisi ina bango kubwa mno limeandikwa ACACIA pale victoria..

Maajabu mengine ACACIA huyu huyu ameiuzia mgodi serikali ya tanzania unaitwa TULAWAKA..

CCM kuna wakati muwe na aibu au mfiche aibu zenu..

Atapotezwa...sasa turudi kuhusu mkataba wa MIGA....unasema nini kuhusu kampuni hewa?
Kabla ya kwenda kwenye mkataba wa MIGA tubaki kwanza kwenye "uhewa" wa ACACIA-kodi zao mlikuwa mnachukua? Mlikuwa mnachukuaje kwenye hewa maana TRA hawapokei kodi kwenye hewa!

registrar-jpg.522759

Hili ni swali kwa mwanasheria msomi na pengine anayekurupuka kuliko wote.

Je, anaweza kutuambia kuwa sheria za MIGA zinasemaje ikiwa mwekezaji anafanya shughuli zake nchini bila usajili halali?

Pili je MIGA inasema nini kuhusu muwekezaji kudanganya na kukwepa kodi?

Karibuni kwa mjadala
barrick-to-acacia-jpg.522758

ACACIA huyu anayeitwa hewa... analipa kodi, analipa mrahaba, anamiliki migodi mitatu tanzania, anandege inaitwa DASH 8 huwa inazurula humu kila siku, wafanyakazi wake wanalipa PAYE +NSSF, ACACIA huyu hewa anasafirisha mizigo yake kila siku humu humu, ACACIA huyu huyu anaofisi ina bango kubwa mno limeandikwa ACACIA pale victoria..

Maajabu mengine ACACIA huyu huyu ameiuzia mgodi serikali ya tanzania unaitwa TULAWAKA..

CCM kuna wakati muwe na aibu au mfiche aibu zenu..
Wanajivua nguo wakidhani wanajisetiri!

Hadi gavana kaulizwa swali hilo hilo !
Tuache blahblah...njooni na jibu la swali kuhusu MIGA
Infact wewe ndo unatuletea blah blah... Mlisaidiwa ili msije kukurupuka kama kwenye mikataba mingine tukaja kulizwa kwa mifaini iso kichwa wala miguu! So go 'study' that damn contract! usituchoshe hapa ukijaribu kuhamishia lawama kwa mwingine! Uvyama wenu umeligharimu sana hili taifa! I wish I could type booonge moja ya tusi. Inaudhi sana even after what we are put into, still there are people who cant think and reason beyond their political affiliation. How pathetic

Nawapa pole wapiga kura wake maana huko anapinga shughuli zote za maendeleo.
Jimbo limeingia kwenye umaskini wa kurupa kwa ubishi wake usio kuwa na maana.
Tupatie ushahidi wa maendeleo katika majimbo ya wabunge wabishi

Hoja ya lissu ilikuwa ni kwamba tukae kimya mpaka tutakapojitoa MIGA...sasa namuuliza swali atudokeze kuhusu kampuni kuoperate illegally...wanaonyoa kwa chupa wanasemaje?

kweli wewe zwazwa kabisa,
iko recorded kabisa Lissu anasema acheni kujifanya mnahamaki kwa uhalifu mlilolifanya wenyewe,
amewashauri kuwa tatizo ni hii sheria yote ya madini na mikataba mnayosiania chumbani mkiwa na mabwana zenu, acheni kukurupuka kama mmefumaniwa.

Mbaya zaidi leo kamati imeyaandika mapendekezo yote ya Lissu kwa kuwa hamna namna nyingine tena.

Ni jukumu la mwekezaji kutimiza masharti na sheria za uwekezaji....

Huwezi kufanya kazi bila usajili halafu usingizie uzembe wa chombo cha serikali...

Leo sasa BRELA ndio waneibuka na utaratibu lazima ufuatwe.
Mkuu hebu acha ujinga basi aisee!

Infact wewe ndo unatuletea blah blah... Mlisaidiwa ili msije kukurupuka kama kwenye mikataba mingine tukaja kulizwa kwa mifaini iso kichwa wala miguu! So go 'study' that damn contract! usituchoshe hapa ukijaribu kuhamishia lawama kwa mwingine! Uvyama wenu umeligharimu sana hili taifa! I wish I could type booonge moja ya tusi. Inaudhi sana even after what we are put into, still there are people who cant think and reason beyond their political affiliation. How pathetic
Acha povu wewe...wakati lissu anatuambia kwenye mchanga hakuna kitu alimaanisha nini?

Wakati lissu anatuambia kwa kuzuia kontena eti acacia wanapata hasara hakujua hasara waliotuingiza kama taifa?

wakati lissu anatutishia na MIGA hakuusoma huo mkataba wa Miga?

Kwa hiyo kwenye contract kuna sehemu inasema acacia wadanganye viwango vya madini?

kwenye contract kuna sehemu inawaruhusu acacia kukwepa kodi?

Lissu ni msaliti na alikuwa anatafuta data za kutusaliti zaidi...I wish ningekuwa Magu sasa hivi lissu angekuwa mahala salama!

Back
Top Bottom