swali kwa kina kaka wenye wapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

swali kwa kina kaka wenye wapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Viper, Sep 25, 2010.

 1. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2010
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  una mpenzi wako toka mwaka 2005 ni wapenzi hasa lakin hamjawahi kufanya NGONO.na sababu zilikuwa yeye alikuwa bado sekondari na wewe chuo na muda wote alikuwa akiniahidi kuwa akimaliza shule atakuwa freee kwa hiyo ngono mtafanya.ulivumilia sana mpaka alipomaliza shule,akaingia chuoni.bahati mbaya wewe ukaondoka tanzania kuishi nje ya TZ.kweli mmekuwa mkiwasiliana sana wakati woote na ni umekuwa kama uko nae karibu.

  mwaka unapita unamtaarifu kuwa utakwenda likizo(ukiwa na maana akae tayari kwa kufanya NGONO) lakn akaja juu KUWA HAWEZI SASA MPAKA MUOANE.Mnaona? unamuuliza sababu anakwambia sababu kubwa ifuatayo

  1.Tukifanya ngono atashindwa kuvumilia na mamabo yake mengi yatalala kwa kuniwaza,akanipa mfano wa rafiki yake ambae alikuwa bikira na akafanya ngono ss anapata shida hakai chuoni wakati woote anasafiri kumfata bf wake.kwa hiyo na yy anaona atakuwa namna hiyo.Hataki kuwa namna hiyo so anaona ni bora tufanye ngono tukioana.Gf wangu ni bikira kwa maneno yake ananiambia hivyo.

  Anasema atakuwa na mawazo meeengi ukirudi abroad.

  UKIFIKIRIA MADEMU WENGI UMEWAKATAA KUSEMA UKWELI KWA KUMTUNZIA HESHIMA YEYE LAKN NAONA NAMNA GANI.
  WEWE KAMA RIJALI na Una matamanio UTAFANYAJE ??! na bint kama kuolewa hataki mpaka baada ya miaka 3 ya degree yake ikiisha? UTASUBIRI? !! UTAENDELEA KUMTUNZIA HESHIMA DEMU WAKO AU?!
   
 2. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  huyo ana lake jambo.
   
 3. m

  mpangwa1 JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mbuzi ndani ya gunia nunua au acha!! kazi kwako
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Unapoteza muda wako
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Chukua hatua!!hivi wewe una umri gani??hatakwenda nje bado unatongotongo???cha kwanza yeye ana bf wake wewe anakuzuga na hataki umuharibie kwa bf wake kwani anajua utamdu unatambaa hivyo sikweli eti anakupenda tafuta uliyenaye karibu wanasema fimbo yambali....................!!!!!!
   
 6. j

  jumalesso Member

  #6
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo uchumba wa muda mrefu una mashaka hususan mnapopendana bado mko masomoni. Uamuzi wa huyo dada ni sawa tu kwa kuwa hatuna hakika kama wewe ulioko ughaibuni hutomsaliti baada ya kummega hata hivyo mambo ya kupakuana yanatakiwa mkiwa ndani ya ndoa. Kama ushafikia muda wa kuoa na yeye hataki tafuta aliye tayari kuolewa usitake kuchezeachezea watoto wa watu ingekuwa dada yako ungekubali apakuliwe kwanza?
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  clever girl + dumb man =marriage
   
 8. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2010
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hahaha umenichekesha kweli.. kwani dada hata akipakuliwa atakwambia kaka... utasikia stories tu mitaani
   
 9. T

  Tata JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Issue hapa hasa ni nini? binti kuwa bikira? wewe ambaye ulaya kutaka kuja kufanya ngono na binti? binti kukukatalia ngono? Kuwakataa mademu wengi? wewe kuwa rijali? matamanio? confused.
   
 10. RR

  RR JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Kama msichana ni bikira kama usemavyo, basi atakua anatafuta sababu kila mara, hata siku ya ndoa. Ana woga wa kufanya mara ya kwanza...kwa hiyo akili za kumbiwa changanya na zako.
   
 11. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  pamoja na uoga wa 1st tym pia mapenzi ya mbali ni tatizo hapo
   
 12. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135


  Mkuu vipi hii ni story yako au unatunga tu?maana umeanza kwa kuandika UN MPENZI wako then ukaendelea,Mpenzi wangu so tuelewe lipi?Unajizungumzia wewe au unauliza kwa wana jf walichakachue hili au unaomba msaada yamekukta?By the way huyo hana bikra wala nini ni mwizi mtupu....
   
 13. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  angalia marekebisho unachanganya nafsi
   
 14. m

  matambo JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  the opposite is the perfect marriage

  i mean clever man +dumb girl is the perfect mix  =
   
 15. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,445
  Likes Received: 2,031
  Trophy Points: 280
  mapenzi ya utotoni yana shida sana mtu unakuwa kama umerogwa unapenda halafu unyumba upewi hapa kitakachofuata ni kukuta huyo demu ana w/ume msululu halafu wanamega kiulaini ndipo utakapo data halafu akili itakaa sawa baadae
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,681
  Trophy Points: 280
  Ulitaka amkubalie? We mbona umenikatalia?
   
 17. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #17
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kiongozi hapo umenena!kweli haya ni mapenzi ya kitoto, we binti ameshakwambia kuwa ngono ni mpaka amalize chuo sasa hapo unamshangaa nini?ni sawa kabisa,kinyume cha hapo ni uzinzi!kama kweli anataka kumfanya huyo dada awe mkewe wa baadae basi hana haja ya kumpa pressure na matamanio yake ya kungonoka!Aendelee kumsubiri, lakini akizidiwa atafute binti mwingine wa pembeni ili achakachue na kupunguza tamaa zake wakati huo anamsubiri mpendwa wake!very simple..........!!!!!!!
   
 18. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #18
  Sep 27, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  huyo demu mpotezee kwa muda, usiwasiliane nae wala nini. akikutafuta kwa simu/email mjibu kwamba upo busy kuna vitu unavifanya! Akikuuliza kwanini unamkimbia mwambie haumkimbii ila 'you got to deal with those who are ready to give'...nakuhakikishia siku ya siku atachojoa mwenyewe!
   
 19. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #19
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45


  Bacha hujatulia, unahitaji kupepewa!!!!!!!
   
 20. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #20
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  CBZ nawe pia hujatulia kama mwenzako bacha, unahitaji kupepewa!!!!!
   
Loading...