Swali kwa form 4 2012 tu;

Swali kwa form 4 2012 tu;


tick3.jpgAu ulitaka ile nyekundu anayotumia mwalimu?
 
Tanzania ilipata uhuru mwaka 2015 Ila Tanganyika ilipata uhuru mwaka 1961
 
hii post si ilitakiwa iwe jukwaa la elimu?
Au una maana kuwa members wengi wa humu ni waliomaliza form 4 juzi?
Au wengi wao elimu yao ni form 4?
au unataka kusema aliyechora zombie yuko humu?
Mkuu una madongo ya chini chini sana
ila wenyewe hawajakuelewa na wanachangia
kazi ipo
chit chat oyeeeee
 
Back
Top Bottom