ACT ni Chama makini watch me,Mwigamba,ZZK na Kitila Mkumbo vijana makini,tunataka mageuzi ndani ya Chama kipya sasa,propaganda zifikie tamati
Hata neno makini bado ni shida kwako kuelewa maana yake??? Mkumbo ZZK hawawezi kuwa makini harafu wakamatwe na waraka, think again
Hivi mnaiogopa nini ACT? Mbona inawatisha sana? Manake kila kukicha mnapost thread kibao za ACT.
ACT ni Chama makini watch me,Mwigamba,ZZK na Kitila Mkumbo vijana makini,tunataka mageuzi ndani ya Chama kipya sasa,propaganda zifikie tamati
Unategemea kweli mtu mwenye akili atajisumbua kujibu maswali haya? Kwa nini mnawaogopa hawa jamaa? Nyinyi mliwaona hawafai, basi waacheni wakajaribu kwingine. Kama kweli ni bogus, chama chao hakitafika mbali. Kama kitajionyesha kuwa tofauti na hivyo vilivyopo basi kitapata wafuasi wengi. Acheni wananchi waamue na sio kuanza kuwaporomoshea matusi na dhihaka. Tuheshimu haki ya msingi ya kila raia ya kuanzisha au kujiunga na chama chochote anachoona kina mvuto kwake bila bughudha yeyote.
Amandla......
Acha kuweweseka mchana kweupe wewe
Mmeamza kutokwa povu mapemaaaa
Safari hii mtakoma cdm
KUMBE KWELI MBWA HAJUI UMUHIMU WA MKIA WAKE HADI UKATIKE, NA HAKIKA MTAACHA HARAKATI ZA KIHUNI ZA UKAWA NA MMESHAHAMIA RASMI KUISAKAMA ACT TANZANIA
Vp ugonjwa wako umekwisha toka uzame kwenye lile shimo la choo akili ikaruka basi huweleweki kwa maneno unayoongeya
ACT-Tanzania ni chama makini tuko imara sana.
Sisi ni wataalam wa mambo ya Kupambana na Vyama pinzani vinavyosumbua chama tawala.
AcT tuko kwa ajili ya kupambana na Chadema TU.
Hujui chochote wewe, uko ktk mambo ya honey(asali) wakati sisi tuko kwenye operation pambana na Chadema.
Kakojoe ulale wewe, mambo ya asali kaa nayo wewe na wajinga wako sisi tunapambana na Chadema haswa
ACT-Tanzania chama makini kupambana na Chadema TU
Tangu mwaka 2008 mwenendo wa kisiasa wa Zitto Zuber Kabwe ulianza kutiliwa shaka na wanachama wa CHADEMA ndani na nje ya chama, Hili lilipelekea kuibuka maneno ya chini kwa chini kuwa anakisaliti chama.
Upo sahihi.
Jambo ambalo watanzania hawajua nikwamba hatakuanzishwa kwa ACT ni muendelezo wa kuteleza mkakati wa ccm wa kuua upinzani. Tangu ianzishwe ACT hawajaiponda ccm hata siku moja coz wanajua kuiponda ccm ni kuchoma moto gunia la PESA.
Kwanza niwapongeze wachangiaji kwa kutambua uwepo wa ACT na kuipa promo,kwa Tanzania ya sasa inahitaji chama kinachojali maslahi ya wanyonge kama ACT.
kuuliza swali kuwa Zitto na Dr.Kitila wataweza kuleta mabadiliko kwa vitendo ni kujitoa ufahamu.
uadilifu wa Zitto ni wa kupigiwa mfano,ni Mbunge pekee aliepinga posho kwa maneno na vitendo.
Ndio mbunge pekee ndani ya Bunge la katiba na Bunge la Jamhuri asiepokea posho.
Kiukweli kama Zitto atajiunga na ACT basi chama hiki kitaungangwa mkono na watanzania wengi ambao wameshakatishwa tamaa na siasa za Maslahi.
Wacha povu liwatoke lkn ACT tunasonga mbele,nyuma kwetu mwiko.
Acha kutumiwa na Mabepari wanaotumia kodi zetu kwenda kutanua Dubai,
Vua gamba ,vua gwanda ,uvae uzalendo.
Majibu ya wasomi wa ACT wanajenga chama chao kipya.
Kazi kweli kweli kweli
chadema ndiyo walevi tena ulivyo wao ni ule wa kuwapeleka motoni.
Majibu ya wasomi wa ACT wanajenga chama chao kipya.
Kazi kweli kweli kweli
Ndio maana mnazidi kukosa credibility. Kila kukicha ni kutafuta mchawi badala ya kujikosoa wenyewe. Mwanzo, kila aliyetofautiana nanyi mkamuona ni CCM, sasa mmehamia kwa ACT. Nani alyewaambia kuwa vyama vilivyoruhusiwa nchini mwetu ni CCM na CHADEMA tu?
Kubalini kutofautiana, mshindane kwa hoja na wananchi ndio watakaoamua nani wanamtaka. Witch hunting haitawafikisha popote. Wakina Kitila mliwatumia kama toilet pepa, sasa wameamua kuanzisha chama chao, povu linawatoka.
Amandla......